Leo jioni nikiwa natoka kwenye harakati za mtu mweusi njiani kuna mama alikua anauza maharage mabichi yaliyomenywa, nikasema ngoja nisapoti family business kwani mama yangu kule kijijini anafanya...
Habari wanajukwaa mnaendeleaje na kujenga taifa?
Kuna uzi mmoja nimesoma asubuhi hii nimecheka mno kuhusu search histories za watu kwenye simu zao. Kuna histories za mambo ya ajabu ambayo mtu...
Kwenye pita pita zako mtandaoni unakutana na hii picha, unapo-zoom na kutazama vizuri unamuona bi mkubwa naye yupo hapo chini.
Utafanya nini mkuu? 😃 comment ziwe fupi fupi
Wakuu karibun mtaje vitu ambavyo hamtovifanya mpaka nchi hii ikombolewe. Binafsi naanza kama ifuatavyo
1. Sitofanya mapenzi mpaka October 29 ipite.
2. Sitoangalia picha au picha mjongeo yoyote...
Sheikh anawezaje sema haya maneno nasi tukamkubalia tu? Mbona ni mkanganyiko mkubwa?
=====
JamiiCheck imefuatilia kipande hicho cha video na kubaini kuwa kimekatwa kutoka kwenye video ndefu...