JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Steve nyenyenyee, mbasho, mwinja yule dogo rais wa vyuo tume miss zile press zenu hasa steve,,, tupe ata press moja tivu akeee....
0 Reactions
7 Replies
402 Views
Kuna dada anajiita "Rachel" anadai anaishi Japan watanzania wengi inasemekana wanamfuatilia huko TikTok kwa kunyatia...πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ˜„ Na wewe unamfuatilia yule Recho wa TikTok?
5 Reactions
16 Replies
970 Views
Ni miongoni mwa nyuzi zinatrendi sana ila sijabahatika kuufungua. Wajuzi nambieni kuna nini umo ndani?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ•ŠοΈ I am not well, guys, i know you are too
2 Reactions
8 Replies
306 Views
Bonge moja la Series hapo mjini Netflix, kama hujaiona kaiangalie utajifunza mengi.
0 Reactions
1 Replies
169 Views
Mahabuba wangu, furaya ya nafsi yangu na manukato wa moyo wangu... Mara ya mwisho uliniahidi wanifuata Zanzibar baada ya swallat jumaa siku kama ya leo ila hukuja Kwa anayejua alipo Bibi yenu...
1 Reactions
16 Replies
718 Views
Natumai siku yako imeenda vizuri na una furaha. Chagua swali au maswali ambayo hutojali kuyajibu na tuzogoe pamoja. Kitu gani kimefanya maisha yako kuwa rahisi kwa mwaka huu? 

 Mstari gani wa...
9 Reactions
251 Replies
5K Views
Oktoba 29 imekukuta macho bado upo JF na online. Sababu gani imekufanya hujalala mpaka sasa hivi?
4 Reactions
98 Replies
2K Views
Taarifa zilizonifikia ni kwamba ndugu yetu,dadaa yetu 'Valentina' ni mgonjwa hivyo kama wanajamii wa CC na MMU tunaombwa kumkumbuka katika maombi Mungu amrejeshee afya njema. Mungu akushushie...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Ile una pewa namba au umetafuta namba ya manzi ulie muelewa ile una mtafuta tu una anza ulizwa namba umepata wapi hili swali una jibuje Mimi huwa najieleza vizuri simtaji muhusika ila nikiona...
12 Reactions
56 Replies
1K Views
Nikiandika ninachokimiss kwa wakati huu na hizi akili za usiku, uzi hautapitishwa na moderators. Nimewamiss wote, harakati za uchaguzi zimeniweka mbali na JF. Vipi wenzangu mnamiss nini?
12 Reactions
393 Replies
6K Views
Jitokeze tupate amani ya moyo kipenzi. Ni Imani upo salama.
1 Reactions
2 Replies
180 Views
Niliyogundua katika zoezi hili la maandamano ni mengi sana, lakini haya machache tunaweza kujadiliana. 1. Hivi wale wanaotuma meseji za tuma kwenye namba hii walikuwa wapi? Maana sijapata meseji...
4 Reactions
7 Replies
397 Views
Kwa shida sana nimeingia jamvini! Any updates????
1 Reactions
17 Replies
488 Views
Jamaa kala zake vyombo kaopoa asubuhi sasa.
6 Reactions
8 Replies
398 Views
- Mara nyingi historia yake huwa na mafanikio kabla hajaanza ulevi, mfano utaambiwa alikuwa ana akili sana darasani, alikuwa hakosi kanisani, alikuwa mfano kwa vijana wengine, n.k. - wanazijua...
29 Reactions
56 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…