JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hii itawafanya wanao wawe na critical thinking and creative thinking. Maana ukiangalia watu wengi hawajui namna ya kufikiria.
8 Reactions
24 Replies
329 Views
Chagua upande kisha weka hoja makini, sifa, wema, ubaya, uzuri ujanja, mahusiano, mitazamo na maono ya kila upande.. Jitahidi usiweke kejeli za kuudhi sana.. Matusi na dhihaka zinazokera. Tuepuke...
20 Reactions
930 Replies
81K Views
Leo nimepata wasaa wa kupiga story na mzee wa kiafrica akanimbia kwa umri wake wa miaka 90 hajawahi kuona uchawi toka amezaliwa anasikiaga tu. Just imagine mzee wa miaka 90 hajawahi kuona hicho...
6 Reactions
19 Replies
266 Views
Maisha hakika yana siri haya ukiona mwenyezako anapambana hakika mpe hongera yake Nina brother yangu kila siku anatuaga kuwa anakwenda kazini anafanya kazi sokoni uko kumbe kazi yake yeye ni...
16 Reactions
22 Replies
479 Views
Kila chenye mwanzo huwa kina mwisho. Nimebakiza miaka 40 ya kuishi hapa duniani, unanishauri nifanye nini au niishije ishije kwenye hiyo miaka 40 huku nikipata furaha ya nafsi?
6 Reactions
60 Replies
641 Views
Kuna siku mimi na marafiki zangu tuliendaga shamba la shule tukaiba tikiti. Tulichagua kubwa kuliko yote, tulikuwa watu wannne na lile tikiti lilikuwa kubwa ikabidi tukatafute wheelbarrow tuje...
5 Reactions
3 Replies
152 Views
Niliwahi kuwa na rafiki ambaye tulikuwa karibu sana kipindi tukiwa chuo. Sasa kuna siku niliibiwa simu ikabidi nitamtafute mpenzi wangu kupitia simu yake nimpe taarifa. Nikaja kununua simu lakini...
10 Reactions
36 Replies
662 Views
Visiwani huku nimekutana na haya matunda wanaita Shokishoki, Kwa kuwa nafuata ushauri wa Dr. Janabi kwenye lishe basi nikasema acha niulize haya ni matunda Gani na niyanunue (sijawahi kuyaona...
5 Reactions
18 Replies
321 Views
Nilizoea kukuta menu za kawaida kama wali maharage, pilau nyama, wali mboganboga na kadhalika. Nilipoenda Dodoma kuna migahawa nikakuta wanauza wali ugali nilishangazwa nikijaribu lakini...
6 Reactions
15 Replies
321 Views
Hivi wanangu mnaanzaje kuandika maneno kama haya mkitaka watu wawa wish? Are you okay au dish limeyumba somewhere!?
8 Reactions
131 Replies
3K Views
kama ni kichwa panzi utalewa week Moja Old Milwaukee beer ni tamu sana ikipita kwenye koo😂
17 Reactions
149 Replies
1K Views
Amaa kweli kuwa uyaone... Huu ndio mtaji wangu ambao utabadilisha maisha Yangu. Hii ni elfu Saba za kitanzania Nipeni mbinu za kukuza mtaji wangu wakuu
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Ninakumbuka nilikuwa nikifika darasani nalala juu ya dawati maana ilikiwa ni lazima kulala kama mwalimu hayupo na usipolala unaandikwa jina na kuna adhabu. Mimi pamoja na kulala nilikuwa...
79 Reactions
159 Replies
6K Views
Unaamka asubuhi huku ukiwa na heng over ya jana usiku: Unapasha maji kweny jiko la gesi ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na ya baridi unajimwagia, unaungua unaanza kupiga...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Usiku huu mwanangu amekuja ananipanga na uongo ambao na mimi niliutumia ujanani, akanikumbusha enzi za chuo. Sisi tulioishi nyumbani, wazazi walijitahidi kutulinda, ila wavulana wa enzi zetu...
4 Reactions
59 Replies
2K Views
Habari, Swali langu hapa ni fupi sana, Ni kabila gani / Mkoa gani una sifa ya kuwa na wanawake wembamba nchini, ?
1 Reactions
10 Replies
467 Views
Kuna watu huku ni member wanaogopa kusema na kushare ambitious zao wanajua wakifanya hivyo watakutana na ukosoaji mkubwa sana matokeo yake tuna kizazi cha watu waoga kupita maelezo 👉👉nashukuru...
21 Reactions
171 Replies
4K Views
Wakuu habari ya leo,. (Chit-chats and jokes) Leo em mniambie kwanza Kuna uhusiano gani kati ya hali ya hewa (baridi) na kula sana. kipindi cha baridi nakuwa njaa mda wote,. Yaani nakula kama...
9 Reactions
123 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…