JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari WanaJF, Poleni na majukumu ya maisha. Kumradhi kama kuna uzi ulishawahi kuwepo wenye maudhui kama kichwa cha habari kinavyosema. Emb tukumbushe mambo/vitu/mitindo yaliyokuwa yakitia...
0 Reactions
1 Replies
427 Views
Salaam wakuu, Jamii Forum ina mambo mengi mazuri kuanzia mijadala ya siasa, makazi na ujenzi, hoja na habari, mahusiano, biashara nk nk. Niweke wazi nimekua addicted na JF muda mwingi nipo JF...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Ile unatoka zako chuo unarudi nyumbani mwezi wa kwanza unapita kuna vitu vinaanza kutokea. 1. Usb yako inakufa 2. Sendo zinakatika 3. Jeans yako pendwa inachanika 4. Cadet zinapauka 5. Unaachwa na...
34 Reactions
195 Replies
18K Views
Kuna vitu vinatatiza sana! Kwanini raha usijipe mwenyewe? Kwanini ufe na stress? Unagharamia mawasiliano Unagharamia usafiri Unagharamia vinywaji Unagharamia vyakula Unagharamia malazi/pa kulala...
16 Reactions
66 Replies
3K Views
.
0 Reactions
3 Replies
805 Views
Si Leo nimeota Beyonce kagombana na jayze kisa Mimi chochote kitu 🤣 Karuka ukuta Zaid ule wa mererani kuja kwenye geto langu. kaniahidi music anaacha kwa ajili yangu aje tukalime korosho...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari, Husika na kichwa cha habari, Huu uzi ni maalumu kwa kupeana maujanja ili kujua maeneo ya kula bata ndani na nje ya nchi na vituko vya bata batani. Pia kuelezana vinywaji, vyakula...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu habari za mchana, Heri ya pasaka kwa Wakristo. Kwa ndugu zangu waislamu poleni na swaumu. Niende kwenye mada husika. Watu hunitizama kama beureucrat, usalama wa Taifa, askari wa PGO au mtu...
1 Reactions
7 Replies
841 Views
Japo haikuwa rahisi kivile nashukuru mungu nimefanikiwa kuhamia kwangu Kweli nimeamini ukiwafatilia sana walimwengu haujengi vitisho vingiiii hasa hawa mafundi wa mitandaoni kitu Cha laki...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa mfano ukiambiwa uinuke uanze kutembea kwa miguu mpaka pale utakapopigiwa simu na Mpenzi wako,je were unaweza ukatembea kwa umbali gani? Mimi ninaweza nikatembea kutoka Hapa Nairobi Hadi...
6 Reactions
18 Replies
953 Views
Kama kichwa cha thread kinavyosema juzi nilipoteza simu yangu kipenzi baada ya mtu mzima kuwekwa chini! Sasa mim nataka kujifua ili nisikalishwe chini lakini niwakalishe chini. Kwa sasa naomba...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mhaya Koku Mutabirwa amejenga ukumbi mkubwa wa kisasa wa sherehe jijini Dar es Salaam, akalipa jina la Nyarubanja Modern Function Hall. Akagawa maegesho ya magari (car park) kama ifuatavyo...
0 Reactions
0 Replies
393 Views
Asanteni
11 Reactions
211 Replies
8K Views
Each year your birthday reminds me, That I really want to say, I’m very glad that i have known you .. I look forward to spend every birthday with you, Because you are a good thing...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
Ilikua hivi, alimchumbia akiwa mwanafunzi, ahadi kibao walipeana mpaka ndoto ilipotimia ya jamaa kupeleka posa na kukipa mahari. Mke alielewa hali ya jamaa na alihamia baada ya hatua za mahari...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa tuliobahatika kuhenya JKT enzi hizo,embu tujikumbushe top ten za disco la enzi hizo. Naanza: Kule kwa chinova, kule kule, kule kwa chinoova, tunasonga na kuzimbabwe, masika na toye,toyela...
4 Reactions
119 Replies
12K Views
Tueleze ile Siku Ulilazimika kukesha Nyumbani,Njiani,Kazini Au sehemu yeyote bila matarajio Yaani Ulijikuta tu Unatoboa Upende usipende. Namaanisha Jicho- Jicho yaani hukulala kabisaaa!! .Mara ya...
2 Reactions
10 Replies
761 Views
Poor Government policy. Poor knowledge amoung of leaders. Lack of knowledge to their people. Women are used for pleasure. Lack of capital. lete nyingine unazojua. Alafu Discuss
0 Reactions
6 Replies
618 Views
1.mkwepu jr bado anabaki kuwa kamanda,mwepesi kuelewa,mtu anayehishimika na Mambo yanazidi kuwa ya nguvu kwa ajili yake, rafiki wa wote na ana uzoefu 2.kijana wa Leo naye Ni kisanga anajua jua...
10 Reactions
84 Replies
6K Views
Back
Top Bottom