Nipe raha za kuwa single kwa maisha ya kigeto geto

1.kujifungia ndani siku nzima bila kuulizwa na mtu
2: kushinda ndani bila nguo nazunguka tu nafanya kazi zangu.
3: kuongea na simu loudspeaker iwe siri au kawaida.
4: kupika ninachojisikia kula at anytime.
5: nikifanya usafi kila kitu ninavyo kiacha ndo nakikuta hivyo hivyo.
6: kula kwenye sufuria hasa chakula kikiwa kimebaki kidogo.
 
Nimependa namba mbili
 
Back
Top Bottom