Njia gani ambayo huwa unatumia kuondoa stress pindi unapokuwa bored?

Itscharlie

JF-Expert Member
Apr 15, 2022
3,794
15,763
Habali za usiku huu wakuu nimekuja na nyuzi hii tushikilishane kwa pamoja kwamba ni njia gani huwa tunazitumiaga kuondoa stress mfano; mtu kakukwaza, matatizo, kuumwa, nk.

Mfano mimi huwa nikiwa bored, off mood! Huwa napenda kuskiliza music’s tofauti tofauti kama; R&b, slow jams, blues, somehow na oldskul hiphop.

Pia kama sipo interested na music kwa muda huo! Huwa nalala atleast 3/4hours nikiamka nakuwa mpya.

Sijui wenzangu huwa mnatumia njia gani??
 
giphy.gif
 
Back
Top Bottom