Swali la kwanza(marks 40)
Jinsi ya kumwingiza simba ndani ya friji.
Fungua friji halafu msukume ndani na ufunge mlango wa friji.
Jinsi ya kumwingiza twiga ndani ya friji.
Fungua friji na umtoe...
Habari za jumapili wanaJF,
Kwanza namshukuru mwenyezi Mungu kwa pumzi aliyotupatia mpaka tumefika mwisho wa mwaka kwa neema yake pia tutauona mwaka mpya.
Kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa yote...
Hello.
Kwa kipindi kirefu nimekuwa msomaji wa comments jamiiforum.
Leo nimeamua kujiunga Rasmi.
Niambie kipi nizingatie.
Kipi unahisi sikijui kuhusiana na Jamiiforum?
Kwa sasa maisha yetu ya kila siku huamuliwa kwa kuwepo kwa mchana na usiku. Jee ulimwengu ungekuwa na usiku tu ama na mchana tu, maisha yetu yangekuwaje??
Darassa, Huyu mwamba
Ushapata picha ya ule mtu ulimwona Nyang'au,
Ndo huyu yuko on top now you wonder how,
Alechelewa kufika wengi walimdharau,
Na kumbe aliyewahi kuna vitu amesahau...
Facebook- Wanawake kwa wanaume
Tweeter-Mtandao wa kiume
Instagram-Mtandao kwa ajili ya wadada
TikTok- Wadada
Kidume akiwa na TL account hashangazi.
Uzi tayari.
Uwe labda umeshawahi sijui Kutongozwa humu au huko barabarani au hata kuwa na Mahusiano na Watu wenye Idadi kama Mabehewa yote ya Treni ya Bara au hata kama una mapungufu yako yoyote au hata kama...
Habari wana ndugu
Leo Nipo morogoro nipeni location za swimming.
Huwa napenda sana kuogelea, nina tabia nikifika mkoa wowote kama nitakuwapo kwa mda, huwa natafuta sehem za kuogelea.
Maana...
Heri ya mwaka mpya wana JF wote. Tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuuanza mwaka mpya 2023 sifa na utukufu tunamrudishia yeye.
Tukiwa tumeanza siku mpya ya mwaka siku ya kwanza, ni siku ya kupanga...
Mabaharia wengi waliozamia au waliokuwa na harakati za kuzamia meli miaka ya nyuma wanakumbuka changamoto za kupanda meli na kutorokea nje ya nchi.
Wagiriki ndio nchi iliyokuwa na meli nyingi...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Muda huu niko hapa nakunywa nimechelewa kufika sasa nimepaki gari langu nyuma ya magari ya vyombo vingine vya usafiri.
Kuna jamaa yuko anafoka anataka...
wanyamwanga ni kabila linalo linalopatkana ktk wilaya ya mboz na pia nch jilan zambia.wanakawaida ya kusafiri makundmakund kwenda kutembelea ndg wa mbali na hukaa hata mwez mzm.bac jamaa walienda...
Jana nilikula kavaluu kadogo.
Kama kawa nikashashusia za kienyeji baadae nikasakafia na balimi tatu.
Nimerudi home saa tano nipo matingasi.
Sijasikia malue wala ndoto za ajabu za majinamizi na...
Vyanzo vyangu kutoka Kremlin vimenidokeza kuwa Mr Putin kakosa kabisa usingizi baada ya taarifa ya msiba wa kijana wetu Tarimo.
Tofauti na watu wengi wanavyofikiria ,Putin anataka kuwatimua...