JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hebu tuambiane ni tabia Gani ambazo watu wa Dar ambazo wanazo ukizifanya mikoani watakuona mshamba
1 Reactions
10 Replies
663 Views
Hi Ukitaka kujua watu wafupi wana hasira tegea siku anasoma tangazo la kazi halafu anasifa zote za hiyo kazi iliyo tangazwa lakini mwisho wa lile tangazo wakasema lazima awe mrefu. Utaona...
2 Reactions
15 Replies
948 Views
Karibuni chunya Makongolosi, sehemu ambayo watu hujiachia masaa 24 Kila Kona baa na vilabu vya pombe asili. Ukiwa unavuka barabara jishikilie maana bodaboda wa huku hakuna kufuata sheria. Duu...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Mention mwanachama mwenzako humu JamiiForums. Hata kama alitoa comment mwaka gani. EITHER Umkute ametoa comment kwenye thread humu JF huwezi kumuacha kumpa LIKE [emoji1417]. Ni LIKE. LINDA...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Maisha lazima yaendelee..Corona tutaishi nayo tuu. Meme Lords tukutane hapa tuchangamshe jukwaa Tupia ya kwako. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Hivi Dar es salam ni mkoa kama vile Kigoma, Mwanza, Dodoma na mikoa mingine Au ni city tu kama vile Kasulu, Kilimanjaro na Cities zingine Kuhuliza sio ujinga nataka nijue
1 Reactions
9 Replies
868 Views
Niende kwenye swali langi, hivi nini kinazungumziwa zaidi duniani kati ya mapenzi au pesa
1 Reactions
10 Replies
569 Views
Kupanga chumba au kukodi chumba sehemu ni kawaida Sana kwa wapambanaji wa hapa na pale. Katika vyumba hivi Kuna vihoja au Mambo Fulani hivi yakukera au kufurahisha, embu nianze na haya yafuatayo...
1 Reactions
10 Replies
967 Views
Nimepamiss sana dar niliwahi kuishi miaka 7 pale napenda sana kuishi external maji chumvi kipande kile nakikubali sana kwa Me naamini dar ndo njiapanda ya mafanikio mnaoishi dar mna enjoy sana.je...
6 Reactions
12 Replies
550 Views
Je pindi upatapo hela kipi ni kipaumbele cha muhimu. Kununua gari? Kununua kiwanja? Kuoa/kuolewa? Kusaidia ndugu? Kumwagilia moyo?
0 Reactions
12 Replies
529 Views
Wakuu. Nipende kuuliza swali tu. Hivi kwa hili jua linalosababisha Joto mapenzi yanafanyika kweli ?
1 Reactions
12 Replies
598 Views
Swali la kwanza(marks 40) Jinsi ya kumwingiza simba ndani ya friji. Fungua friji halafu msukume ndani na ufunge mlango wa friji. Jinsi ya kumwingiza twiga ndani ya friji. Fungua friji na umtoe...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ulitumia masaa mangapi na muda ngani kumfuata mpenzi wako? Mwishowe ukaambulia Zero?
0 Reactions
4 Replies
354 Views
Habari za jumapili wanaJF, Kwanza namshukuru mwenyezi Mungu kwa pumzi aliyotupatia mpaka tumefika mwisho wa mwaka kwa neema yake pia tutauona mwaka mpya. Kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa yote...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
jamanii hivi napataje ela bila kufanya kazi ? kama kuna kuna njia mnipange na mimi nitusue
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Hello. Kwa kipindi kirefu nimekuwa msomaji wa comments jamiiforum. Leo nimeamua kujiunga Rasmi. Niambie kipi nizingatie. Kipi unahisi sikijui kuhusiana na Jamiiforum?
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Kwa sasa maisha yetu ya kila siku huamuliwa kwa kuwepo kwa mchana na usiku. Jee ulimwengu ungekuwa na usiku tu ama na mchana tu, maisha yetu yangekuwaje??
1 Reactions
2 Replies
421 Views
Darassa, Huyu mwamba Ushapata picha ya ule mtu ulimwona Nyang'au, 
Ndo huyu yuko on top now you wonder how, 
Alechelewa kufika wengi walimdharau, 
Na kumbe aliyewahi kuna vitu amesahau...
2 Reactions
0 Replies
279 Views
Facebook- Wanawake kwa wanaume Tweeter-Mtandao wa kiume Instagram-Mtandao kwa ajili ya wadada TikTok- Wadada Kidume akiwa na TL account hashangazi. Uzi tayari.
0 Reactions
3 Replies
530 Views
Uwe labda umeshawahi sijui Kutongozwa humu au huko barabarani au hata kuwa na Mahusiano na Watu wenye Idadi kama Mabehewa yote ya Treni ya Bara au hata kama una mapungufu yako yoyote au hata kama...
37 Reactions
675 Replies
44K Views
Back
Top Bottom