JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kristo Leo ni Jumatano ya majivu ambapo kwaresima inaanza rasmi kwa mwaka 2023 mimi nitaenda St Peter Oysterbay kusali. Wewe utakuwa Kanisa gani?
8 Reactions
70 Replies
5K Views
Una rafiki yako, je, ni haki kuwa na no za simu za mpenzi wako? Man au mpenzi wako kuwa na namba za rafiki yako? [emoji736][emoji736]
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Maana naona vijana wengi wamekuwa walevi wa vilevi mbali mbali kama bangi, mirungi, pombe shisha na nk. Tatizo ni nini?
2 Reactions
9 Replies
566 Views
Wangapi hapa tumeenda sawa? Vitabu vimeandika mwanamke marufuku kutoa sauti ya juu kwa mwanaume, sasa inakuwaje mwanamke anakukoromea?
0 Reactions
2 Replies
453 Views
Nimebahatika kwa mara ya kwanza tangu mwezi wa tatu mwaka jana kumtoa out. Niko nae hapa maeneo fulani sasa naomba ushauri, nizuge zuge kwa dakika ngapi kabla kuanza kumpapasa mapaja?
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Jamii ina watu tofauti tofauti, kukiwa na matabaka, kipato, elimu na mtindo wa maisha hutofautiana. Kuna wenye ushawishi kam Mshana Watu wajuaji na wabishi kama kiranga Wenye degree za maisha...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Naomba mwenyeji atakaye mpokea unique flower mdada mfupi mremboo stendi mbeya . Anionyeshe mahali pakulala na kula . Pasafi na pazuri. Nikwa hiyo siku mmoja hiyo tu. Good night
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Naomba ufanunuzi kidogo hapa maana labda sielewi hii hela imekujaje kwa ulimwengu.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kufahamu maana kila siku naona list za wanaume tu. Sasa mbona wanapambana sana, hela zao wanawekeza wapi?
0 Reactions
2 Replies
557 Views
Mambo yasiwe mengi. Yani ID zile za zamani za wadada wakali hatuzioni sasa unakuta kuna ID mpya ya mdada uki click profile unaona ni wa 2013, 2014, 2015 au 16 lakini jina hujawahi kuliona JF...
38 Reactions
369 Replies
13K Views
Wakuu, katika kuzunguka kwangu hapa Tanzania nimefanya kautafiti kadogo kuhusu pisi kali, na nimekuja na orodha ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa hapa Tanzania. 1. Mbeya 2. Katavi 3. Rukwa...
35 Reactions
267 Replies
23K Views
Hii itakuwa safi, maana tumechoka.
0 Reactions
4 Replies
436 Views
Ukweli ni kwamba waomba ajira ndo wengi juu, Kuliko wanaopambana ili wajiajiri tu! Unaweza miliki pesa ukakosa uhuru juu, tambua huru ndo UTAJIRI pekee huku juu. Mtu akishapata nafasi uku juu...
7 Reactions
4 Replies
571 Views
Endeleeni kuoa vijana , wake za watu sio wachoyo kabisa ngumu akubanie alichopewa bure labana awalinde pia endeleeni kuhudumia vizuri na sisi tule minofu .
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Ukifa kama wewe ulikuwa unawachukia au kuwaonea viumbe wa aina fulani basi wewe utazaliwa upya na kuwa kama hicho kiumbe,
2 Reactions
5 Replies
297 Views
Leo ni weekend ndio inaisha kesho ni kazi na mtu kuja nyumbani nyang'anyang'a nani Leo unamtakia wiki njema yenye baraka?? Mie ni JamiiForums wote na Lovelovie Nakadori To yeye Kalpana
3 Reactions
17 Replies
707 Views
"kila mtu kwenye kitabu chake cha maisha kuna ukurasa ambao hawezi kuusoma kwa sauti mbele za watu" Kwahiyo, tupunguze kunyosheana vidole. Mkamilifu ni Mwenyezi Mungu pekee.
3 Reactions
7 Replies
812 Views
📌 Usikate tamaa kwa changamoto unazopitia, aisee hakuna kitu kizuri kinachokuja bila changamoto ata masika uja baada ya kiangazi kuzidi.😂 📌 Mtu anayekupenda hatokuacha kwa tabia zako ila...
1 Reactions
0 Replies
617 Views
📌 Penye miti hakunaga wajenzi nikiongezea na msemo wa ndugu zangu wahaya(zagwa mbali batazilya)... 📌vingunguti kuna machinjio ila tembelea mighawa sijui niseme vihotel VIDOGO vya mitaani...
1 Reactions
6 Replies
502 Views
Sina cha kuongezea tena hapo, Naenda Jamii Intelligence, ntapitia the Palace, halafu nitapitiliza Jukwaa la Wakubwa TGIF
6 Reactions
105 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…