Mke wangu amesafiri kwenda mbali mkoani, nipo na watoto peke yangu, sisi familia yetu hatuna wasaidizi na kwa kuwa maisha tulishaandaa yaaani tulishawekeza mila mwezi pesa inaingia ya matumizi...
Hapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya ππ.
Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?
Habari za asubuhi ndugu zangu wa JF,
Leo asubuhi tarehe 29/03 ni siku ya furaha kwangu kwa sababu kuu mbili. Kwanza kabisa ni siku ya kuzaliwa mke wangu mpendwa, ametimiza miaka 29π. Namtakia...
Wakulu wa nchito, nipo Zanzibar kama 2 weeks hivi, ila sasa naona kabisa kama kuna ka kampani ka manzi kanamiss afu kuimport ndio miti yote imeteleza nyani wote chali.
Mwenye code nzuri tafadhali...
Kwema Wakuu!
Ninafuraha kubwa katika siku hii ya leo.
Hii ndio siku ambayo nilizaliwa. Ndimi Taikon wa Fasihi, Mnyanyembe wa Tabora.
Nawashukuru wote mliokuwa baraka kwangu, lakini pia...
Hey
ni vyema mjue SABABU ambazo wanaume wa kabila la Kichaga walizonazo na uweze kuchukua tahadhali nao
hata kama unataka kuishi nao angalia vipengele hivi:
1. Wanaume wa kichaga ni wepesi...
Habarini wadau wa humu.
Toeni ya moyoni kuhusu kujulikana Je kwako mwenzangu KUJULIKANA kuna raha au karaha?
TIRIRIKENI WADAU hapa.
Mimi kujulikana naona raha sijui wadau mabestito.
Wasalamu
Ladyf
Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo:
1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa ukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa...
Safari yangu ilinzia Lindi , Dar, Moro, Dodoma now nipo Tabora natalajia jion hii niende Nzega,but sina uzoefu SANA na Nzega napenda nijue eneo la kula lorge nzuri na watoto wabichi.
Asanten.
Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe
"Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda."
Tafakari ya babu...
"Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika...
Habarini za muda huu wakuu,
Leo nimeona tuzungumze jambo moja hasa kwa sisi WANAUME.
Nimeanzisha thread hii kwa ajili ya sisi kujadili "mambo yetu" kwa lengo la kufundishana, kuhabarishana...
Mtoto mmoja aliibiwa Baiskeli yake akaenda Police, akaulizwa unahisi ni nani aliekuibia?
Mtoto akajibu: = Nahisi ni WAZAZI wangu,
Police wakamuuliza kwanini unawashuku?
Akajibu: = Jana usiku...
Vijana bhn yaani anatoka kwao ushaagoo kule ndani ndani anakuja Masaki anashangaa zile nyumba anaona kama kafika New York city πππ Aisee ushamba mzgo
Wanashangaa vijana wadogo wenye magari makali...