Na Darubini yangu MINOCYCLINE inaniambia kuwa Watatumbuliwa Wote ila siyo Yeye kwani Yeye hapo kawekwa Kimkakati na Mstaafu mwenye Nguvu na anayemmudu Mteuwaji ili Mambo yake yaende na Chenji za...
Kwakweli mtaani kunafurahisha ndugu zanguni, kuna vitu vikitokea huwa nakaa nakusemea siwez hata kitaa hiki.
Bila kupepesa, nikiwa kitaa na marafiki tunagonga nyundo za vijiweni.. Ghafla bin vuup...
I wanna say ni kwamba kama una wanawake wengi lets say 4+ Unaweza unda group la WhatsApp ili uwe unawatumia Taarifa kwa Pamoja ili kuokoa Muda.
Badala ya kupoteza Muda kuchart na kila mtu u may...
Mimi nafanana sana na Tupac na kwa mbali nafanana na godluck gozbert na mke wangu anafanana na mdada aliye pichani hapo yaani copyright kwa zaidi ya asilimia 96..je wewe na mpenzi wako mnafanana...
Mimi si mtumiaji wa vyote hivyo lakini kama nitaamua siku moja basi nitachagua jani kwasabu
-haivutwi hadharani
-haivutwi kila wakati
-inatibu baadhi ya magonjwa hasa ya kisaikolojia...
Hellow africa
Kuna watu ni walemavu lakini hawajijui tu lakini ndio wanalinga hatar
Mtu mwenye mwanya: Huyu ni mlemavu wa meno meno yameshindwa ungana ndio maana kuna sehemu ipo wazi huyu pia ni...
Ifike mahala tujiheshimu kisha tuheshimiane sisi kwa sisi. Mbona tunakuwa na tabia za kimasikini kana kwamba hatumiliki ma Range humu ndani?
Unakuta jitu linaingia M.M.U linakutana na nyuzi za...
Huwezi kupanda bange ukategemea uvune tumbaku! Hata siku moja [emoji23]
Ukijifanya unajua hivi wenzako wanajua vile na kinyume chake
Pata burudani
1.Mwanzo wa ukorofi
Ndugu zangu kwema,
Nilikuwa naomba msaada tafadhali, maana hili jambo linaniumiza kichwa sana leo.
Kati ya uzi hizi mbili kesho nivae ipi jamani?
Maana hapa nilipo nimepatwa na mkanganyiko...
Habarini Wadau wangu wa nguvu
Ni jambo la kumshukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa nafasi hii ya upendeleo kwangu kunitoa duniani tarehe kama yale nakumbuka nilivyotokea na amenipa afya tele...
Hellw africa
Siku hizi JF kila mtu ana chawa wake wengine mnaboa sana yaana uchawa promax kiasi kwamba unashindwa jishikilia shobo mda mwingine sio mzuri ndugu zangu. Punguzeni uchawa; yaani...
Mwanamke mmoja aliamua kusherehekea siku yake ya kutimiza miaka sabini duniani kwa kwenda kulala katika hoteli moja nzuri. Wakati anaondoka asubuhi mhudumu akampatia bili ya shilingi laki tano...
Wafuatao ni baadhi ya JF members na mbinu zao za kuwasilisha hoja zao kwenye nyuzi mbali mbali especially kwenye comment sections.
Yaani unaweza kutambua majina yao bila kurefer kwenye ID zao kwa...
Najikuta kama nimekaa sehem nahisi kitu kinatambaa nikiingiza mkono na ikuitoa nakutana na majimoto. Aina ya siafu wa rangi ya mbao almaafu majiamoto.
Wengine huita sisimizi.
Naona wote ni...
Hebu taja wahenga wa humu jamii forum tuwaone,,na uwatag waje wajione hapa ,,ili kama mtu bado ni mhenga halaf anachokiandika hakieleweki inabidi tushangae
Haya lets goooooo