Mtaani kwako kuna nini huko

Exformer

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
837
946
Kwakweli mtaani kunafurahisha ndugu zanguni, kuna vitu vikitokea huwa nakaa nakusemea siwez hata kitaa hiki.

Bila kupepesa, nikiwa kitaa na marafiki tunagonga nyundo za vijiweni.. Ghafla bin vuup
Mmama huyo na "mchupi"
Watu kheee kunani ten?
Tunazama ile chocho kuangalia alikotokea tunamkuta mbaba pande kakamata kijana wa kitaaa
Mke wake kavushwaa
Oyaaa wee kitaa mbona ilikuw sherehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom