JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hello 👋 Kuna vitu vitatu hapa je wewe kwako kipi ukikosa unapata tabu MB? Dakika za maongezi? SMS? Mimi nikokosa MB napata homa naona simu ni kopo tu je kwako?
0 Reactions
5 Replies
704 Views
Mishikaki ya kwa Mfojo huko Tabata imekuwa gumzo. Watu wanaisifia sana na Juzi Mfojo mwenyewe alikuwepo radioni Clouds na kasema anauza hadi kilo 200 kwa siku. Jamani wenye ushuhuda na utamu wa...
1 Reactions
46 Replies
7K Views
Mshana Jr na wadau wengine, hii kitu inawezekanaje? Vijiti vilivyokwishafungwa vinaingiaje humu? Hii ni live!
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Anayeelewa hili fumbo. Mimba hadi kuzaliwa miezi ni Tisa. Ila birthday yako ni kila baada ya miezi kumi na mbili. SWALI Sasa pale kwenye tisa ya tumboni na huku kumi na mbili mbona kama tunaiba...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Heri ya nusu mwaka , ngoja niwape maua yao watu wafuatao 😂😂 Wanaume wote ambao wako kupambania familia zao no matter what!! Mungu awabariki sana Wanawake wote masingle maza waliachiwa watoto...
1 Reactions
1 Replies
334 Views
Kwanza naomba niweke ushabiki pembeni, wake zetu kuna wakati wanakera sana sio kwa ubaya lakini maswali yao na jinsi wanavyotaka uwajibu! 1. Ukitaka vita kali usimsifie mke wako, atakuja na...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Mara zote kwenye kila jambo linalokusanya umati kunakuwa na vijimambo nyuma ya pazia ambavyo havipewi kipaumbele. Sasa katika vijimambo vya Sabasaba vya leo sisi wengine tumeona hii kitu na...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Nawakumbusha tu leo nimecheka jamaa mmoja anasema ritandaoo rimoja kama twitta rinaitwa sealed. Mmmh nikauliza sio threads hapaana anamilik riree rijamaa ra FB oooh Nikajua threads... Rooo...
1 Reactions
8 Replies
561 Views
Imagine toka asubuhi... Nipo tu bila nguo hotelini. Naagiza chakula wanaleta na watch movies tu. Kubwa zaidi nakunywa zangu pombe huku najamba tu na ku enjoy harufu yake. Nimegundua kuwa harufu...
17 Reactions
31 Replies
2K Views
Huyu dada mweupe aliyesimama na kucheza juu ya gari anaitwa nani? Nimetokea kumkubali kwani ana 'swaga'. Povu linaruhusiwa.
12 Reactions
111 Replies
5K Views
Wakuu, Unaweza kuona kama swali dogo hivi ila ni la msingi sana,kama hujakutana na mgogoro wake basi kuna siku utakukumba tu [emoji3] Siku kadhaa zilizopita nilipanda basi kwenda mahali...
14 Reactions
94 Replies
5K Views
Morning folks.. What do ladies actually mean when they say;- Sipendi uongo Sipendi mwanaume muongo What kind of lies do they actually signify?
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanasayansi wanasema hashki ya mwanamke ni asilimia 99 kwa maana msisimuko wake katika kujamiana, hili halina pingamizi katika pande zote mbili kwa maana ya sayansi na vitabu vya dini. UKIBISHA...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Hebu fikiria unaamka tu unakutana na hili balaa... MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajili ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa . BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe...
10 Reactions
13 Replies
1K Views
"Hello Filipo, We at JamiiForums would like to wish you a happy birthday today! It's a special day in your life and NOT just a year older, but a year better! Wishing you all the great things in...
6 Reactions
215 Replies
12K Views
Habari, Leo ndio msimamo wetu unaonyesha hov Makete 9 Njombe 11 Mbeya 13 Iringa 14 Arusha 18 Bado tunafatilia maeneo ya katesh manyara Nb:vipimo vipo kwa degree centigrade Sent from my...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Herj ya kumbukumbu ya kuzaliwa. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa unakutakia heri katika siku yako ya kuzaliwa Ndugu Ali Rajabu Issa. Katibu wa Idara ya Uchumi na Fedha UVCCM Taifa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndo ivo Ijumaa ila niko mpweke naomba ujee basi tuchat
5 Reactions
113 Replies
5K Views
1. Mwanaume ukishakua na gari bhaasi umemaliza kazi. 2. Utawagonga warembo mpaka uchoke. 3. Ulikosa gari hata kama Una bilioni au Una nyumba utaishia kupiga nyetto
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kilimo ni kweli kina kipato kikubwa pia ni uti wa mgongo wa taifa lakini kilimo narudia kilimo kina vitimbi vingi kwa ground. Ukifika mashambani kunatisha mno wivu, chuki fitina na imani za ajabu...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…