Mpaka leo huwa naikumbuka Jumamosi ile niliopata ajali.Kiufupi nilipanda pikipiki bahati mbaya hakuwa ameiwasha na tuko kwenye mteremko mkali,dereva nikamuuliza nini hiyo maana nilisikia...
Niko Dodoma hapa mshikaji kaniita kwa kibar fulani kipo kina guest eeeh bhna eeh nikamwona mwigizaji wa bongo movie hapa ila ni wale wa kale kidogo kapauka hapa anakata viuno nikamtia beer 2...
Heshima yenu wakuu.
Kuteleza na kuanguka kisha kuinuka tena na kusonga mbele ni shule nzuri sana ya vitendo ambayo humfanya mwanadamu kuwa na mbinu thabiti za kutatua changamoto zake za hapa na...
Mimi ni mpenzi sana wa konyagi, nipo moshi kikazi bar maarufu sana hapa Moshi nimeagiza konyagi lakini nahisi ina ladha tofauti na nilivyozoea.
Vipi ni mimi tu au wenzangu mnaonaje ladha ya...
Habari zenu humu....
Member ninao wakubali sana ambao nyuzi zao zinabamba sana,tena wakicomment kwenye nyuzi za watu lazima ufurahi tuu hawana baya..
1.mshana.
2.mpwayungu.
3.mangi...
Aloooooooooooooo.
its my birthday.
shukrani kwa mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardho kwa kunifikisha siku hii ya leo.
siku muhimu katika maisha yangu.
lakini pia nitumie nafasi hii kuwashukuru...
Hivi kuna mtu ambaye amefanikiwa kuonja ladha ya hizi konyagi mpya ambazo zimejaa kwenye mabango barabarani? Maana ni muda mrefu naenda maeneo ila kila nikiagiza haiji yenye ndimu ndani?
Hebu...
Jamani kwema?
Hebu fikiria Kuna mtu anaingia chumbani anafunga mlango,anazima taa,anajifunika shuka,lastly anafumba na macho kabisaaaaa !!Sasa najiuliza ni kupenda Sana giza au Aina Fulani ya...
Salamu zenu wana Jukwaa,
Leo kwa mara ya kwanza katika pitapita zangu kwa nimemwagiwa maji machafu hadharani halafu ukicheki nimetupia pamba zangu za ukali kuwahi appointment na demu wangu, dah...
Nimealikwa jamani kanisa moja hivi, kabla sijafika nikapewa Stori Kwanza
Kwenda nakutana na mambo yako hivi💃💃
Dada anapambana kweli kweli doh 🙆🙆🏃🏃
Kwa Yesu kunanoga Balaa, Mauno kama Yote
Kwa kweli ndoto yangu ni kuangalia kwenye ile microscope na mimi niwaone wale bacteria, hahahahah.
Naelewa sio muhimu, ila natamani kweli siku moja nimuombe lab technician na mimi nichungulie.
Watu wa Mtaani walikubaliana Kuwauwa Wote kutokana na Kero zao za Kulia kama Binadamu na hasa nyakati za Usiku na nikawa Mtetezi wao.
Ila kwa jinsi wanavyolia sasa huku wakisogea mkabala ( jirani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.