ANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Jamani tujikumbushe matukio ya kufurahisha, kuudhi na kukera uliyokumbana nayo ukiwa USAGARA SEC. Utaje na mwaka.
*********
School song:
USAGARA nakupenda wala sitokusahau. .......
Hem wasikieni hawa wabishi:
Kongosho: siku 1 nlimpigia simu mume/mke wangu akapokea lkn hakusema halow na mi nkauchuna hadi credit zikaisha.
Excellent: wee cha mtt tu hio, mi kuna day 1 nlirudi...
Huyu jamaa ndie mbunifu mkuu na admin wa wazee wa mapigo na mwendo.
namkubali sana kwa sanaa yake katika Page za Mashujaa FC, wazes wa mapigo na mwendo
Unapoitia mdomoni unaiskilizia fleva yake unaivuta kama Kwa sekunde tano mdomoni kisha unaipitisha taratibu katika koo na kuisikilizia Ladha ya kipekee ya mvinyo.
Kwanini tunajiumiza Kwa mabia na...
Pasipo kujali umri wako,
Una watoto wangapi,
Kuna watangulizi wangapi,
Una komwe,
Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi🌹🍎💔
Miaka miwili iliyopita nilitapeliwa na mtu ambaye nilimuamini sana, akakimbia sikujua anaishi wapi, wala ndugu yake hata mmoja, ila nilimwambia tutakutana tu, na kukutana ni tendo la lazima.
You...
kuna utafiti nimeufanya katika mikoa mingi nchini maeneo yote ya mijini yanakaliwa na watu kutokea kabila la wamanyema ....
kwa mfano ukiangalia mikoa kama vile
1.Dar es salaam wazalamo...
Kwenye maisha kuna vitu ambavyo mtu anaweza kuw anafanya kila mara na ikawa kero kwa wengine.
Hali hiyo anawaweza kuwa anaifanya kwa kujua kabisa makusudi kuwa anawakera watu wengine lakini wapo...
Hii nchi mpaka tufikie mwaka 2030, tutakuwa tumeona mengi kwa kweli. Kijana mmoja ameipamia bodaboda kwa mbele alipokuwa kwenye harakati ya kumkimbiza mdudu wake aliyemponyoka kwa bahati mbaya...
Kibibi kimejaa mvi kichwani muda wote kipo online kinafatilia udaku huko IG Snapchat Facebook nk
Dingi kajaa mamvii kichwani halafu chawa
Dingi kavaa kata k.
Ongezea....
Hivi wahuni nao...