mama alimchapa mwanae kwa koxa la kukojoa kitandani mtoto akati analia akamuuliza mama yake UNANIONEA mbona humpigi baba akati usiku namsikiaga anakuuliza nikojoe unamwambia kojoa?
Ubaridii huu hapa Jf alafu maisha yapeke yako!Ukipapasa upande wapili unakuta eneo labariidiii!Nimeshindwa kuvumilia ngoja nitoke cnm zangu atakaetokeza tu!
A man checked into a hotel. There was a computer
in his room, so he decided to send a mail to his
wife.
However, he accidentally typed the wrong email
address, and without realizing he sent...
Kichaa mmoja kakutana na jamaa flan maongez yakawa hivi:
jamaa:we si kichaa?
Kichaa:ndio,kwan vp?
Jamaa:si unatakiwa kuwa milembe?
Kichaa:ndio niko milembe
jamaa:sasa mbona uko huku?
Kichaa:niko...
wavutaji wa bangi wa wili walikamatwa na askari wakivuta bangi... Walipopelekwa mahakamani hakimu akawaamuru adhabu yao iwe kuwashauri wavutaji wenzao waache kuvuta bangi na baada ya mwez waje na...