wavutaji wa bangi

nurbert

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,887
427
wavutaji wa bangi wa wili walikamatwa na askari wakivuta bangi... Walipopelekwa mahakamani hakimu akawaamuru adhabu yao iwe kuwashauri wavutaji wenzao waache kuvuta bangi na baada ya mwez waje na takwimu ya wavutaj walio wa convince kuacha.
Siku ya kutoa riport ikawa hvi

Hakimu: enhee mvutaj wa 1 umeachisha wangapi?
Mvutaji1: 15 mheshimiwa...
Hakimu: ulitumia njia gani?
Mvutaji2: nliwaambia athari za bangi na madhara kw ujumla

Akamuulza wa pili
Hakimu: enhee ww uliwaachisha wa ngapi?
Mvutaji2: nliwaachisha kama 185 hv...
Hakimu: mh ww umewezaje kuachisha idadi kubwa km hyo?
Mvutaji2: mm nlitumia criteria kua ukikamatwa af upelekwe gerezani kama uliingia na 0713 utatoka na 0713
 
Wewe ndo umeeleweka ila yeye ameandika 'ukiingia na 0713 utatoka na 0713',kuna tofauti gani hapo?

Unatakiwa ujue kwanza hiyo code ni ya mtandao gani na pili ukiangalia vizuri kwenye uzi, hiyo ya kwanza ni ndogo na ya pili ni kubwa tena imekolezewa. Nadhani kwa ufafanuzi huo utakuwa umemuelewa mtoa mada.
 
Back
Top Bottom