jf_Mada Moto Moto...Je ni kweli wanawake wenye Makalio Makubwa Wanamvuto sana...?

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Sina la Kuongezaa...kuna msemo wa vijana..Nyumba bila kuwa na Choo hiyo si Nyumba..
....Tiririkaaa...
Kwa namna hii.

wesere.jpg
 
uzuri wa mwanamke upo machoni kwa anayemtazama! ingekuwa hivyo mbona tusionayo tusingetazamwa mabarabarani!
makalio yangekuwa mali yangewekwa nyuma hukoo?
 
utawajua kwa maneno yao.

babu asprin umeamka mzee? Leo mapema ulitutisha sana kuhusu sred juu ya sred. Endelea kunywa maji mengi ya baridi na kachumbari yenye pilipili kali na limao. Dont drink too much jack daniels.
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiii Asprin thank u darling u made my evening loooh nilikua nimevimba nusu nipasuke!

We nimekujua kwa matendo yako. Mwepesiii. Sitakuacha hata nikikufumania.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom