Hii huwatokea wanafunzi wengi wa vyuo kwa ndugu zao.
Kama mtu unaweza hebu jitume mwenyewe tafuta njia yoyote ya kujitafuta ili upate pesa za kujikimu.
Avoid it.
Kawaida yangu nilikuwa nakaa nalalia blanketi hata mwaka mzima sijafua tena nilikuwa napiga kavu situmii shuka la kuzuia jasho ama uchafu mwengine.
Dry cleaners wanatusaidia sana maana kufua kwa...
Humiliki kiwanda chochote, hakuna bidhaa unayozalisha na kuipelekea nje; wewe kila siku ni kulia lia tu.
Mshahara ukichelewa tu kidogo, unakimbilia kwenye ule uzi pendwa.
Kwa upande wangu, mi...
Daaah haya maisha aiseeh, ndio maana kuna msemo usemao “PONDA RAHA KUFA KWAJA”
Sasa nimejikuta SITESEKI kabisa zaidi ya miezi 2 kumbe bwana nakula “MTAJI” 🥺
Huyo Binti sijaona vionjo vyake humú,muongo mmoja,she was gifted in story telling.ukisoma story zake utafikiri umeshika kitabu Cha James Hadley Chase! Haboi Wala kupoa. Maua yake popote alipo.
Ndugu zangu poleni na shughuli za ujenzi wa taifa, nimeona nijaribu Ku discuss na nyie kuhusu yanayompata snura,
Kiukweli naamini kabisa kuwa matendo yako yanaweza kuwa chanzo cha matatizo yako...
Kuna Vidonge Viwili
Cha Blu na Chekundu
Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa
Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1...