:israel:Teja ........alikutana na mzungu............. mambo yakawa hivi:---
Teja ..........I love you
Mzungu ......I love you too
Teja........... I love you three
Mzungu huku akishanga...... what...
Wana wa bodi habari zenyu.
Nasikitika kuwakosa wadau wangu kwa takriban siku 4 sasa.
Masiku ya nyuma ilikua nikija hapa Nrb, sikua napata tatizo lolote la kimtandao kuipata Jf nikiwa natumia...
Imagine if oil is discoverd in
Kisumu,how will luos name
their children?
1. Oil Driller Ochuodho
2. Petrolina Auma
3. Akinyi Kenol Kobil
4. Ofuta Mali Yetu
5. Diesel Del Japolo
6. K-Gas...
Jana nikiwa kazini mara nikamuona sharo-b mmoja katinga t-shirt yake iliyochorwa fuvu la mtu akiwa amechuchumaa kuonyesha ana-fart. Kuna maandishi yameandikwa
'SILENT BUT DEADLY'.
Ikanikumbusha...
Ni ijumaa.....w/end.....maisha yenyewe ndo haya....kila leo bora ya jana....wayiiii.....njoo tuweke shida chini tunyanyue mikono
juu.....vinywaji vyote vimepoa.....karibu.....
Ahadi ni kawaida kwa binadamu hilo ufahamu lakini utekelezwaji wa ahadi wahitaji wakati na bahati.
Ebu tupia ahadi uliyowahi kuahidiwa na mpenzi wako, kiongozi wako yeyote, mzazi, rafiki, ndugu...
The night before the election, Mitt Romney was very confident & told his Wife Ann; "...this time tomorrow night, you'll be....sleeping with the President of the United States".
After Mitt's...
hii nimeikopi fesibuku nikaipesti huku.... Boflo ndo mtu wa kwanza kuja akilini baada ya kuisoma...
Hapo zamani kulikuwa na Chura alie ishi
pembezoni mwa Ziwa peke yake kwa miaka
mingi...
Mama anampa kichapo mwanae kwa kutofautiana lugha kisha anamsikitikia ilikuwa hivi:
Mama - Mwanangu hebu kaniletee kijiko cha chai kabatini.
Mtoto - Sawa Mama.
(baada ya muda...)
Mama - Hicho...
its not a joke though in jokes forum, may be its udaku.
sijawahi amini kama unaweza pata pesa mtandaoni, hebu bofya hapa chini na wewe ujipatie haya maujanja.BOFYA HAPA . walisema kizuri kula na...
Msibishe, ukweli ni kuwa "kunguru kala nyama" na "nyama kala kunguru" ni kitu kile kile tu.
Katoto kamoja kakike kalikuwa na tabia ya kumsimulia baba yake kila anaporudi toka kazini mambo yote...
Wanajamvi!:director:
Hivi ingekuwaje kama BAO la KUT*MBANA lingekuwa Linatoa mlio kama wa BUNDUKI?? PAAAA!Nahisi Tungekuwa VIZIWI Dunia Nzima. Kwa sababu usiku kelele za Mabao tusingelala...
Habari wana JF?? Kwa kuwa kumeibuka mtindo wa kukimbilia kwenye vyombo vya habari kutafuta ndugu hasa wanapokuwa na umaarufu (Mfano baba Diamond alikimbilia magazetini kumtafuta mtoto wake ambaye...
Jamani "NYUMA" raha ! asikwambie mtu. "NYUMA" rahaaa wacha nipasifie, nisipo pasifia atapasifia nani tena mwenye kuujua vizuri utamu wa "NYUMA" ?. Hebu fikiria Soda ilikuwa Tsh 250, Sukari robo...
Ndugu yetu mpendwa Ciello AMENASA JUMLA JUMLA KWA WAUZA SAMAKI WA MWANZA!!!!!! CHEZEYA MIDOLLARI YA FISH WEYE!!!!!!
Habari za kiintelijensia zimethibitisha kuwa Kijana mmoja aneitwa Mzee si kwa...