Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Wana wa bodi habari zenyu.
Nasikitika kuwakosa wadau wangu kwa takriban siku 4 sasa.
Masiku ya nyuma ilikua nikija hapa Nrb, sikua napata tatizo lolote la kimtandao kuipata Jf nikiwa natumia line yangu permanent ya Voda.
Cha kushangaza safari hii piga ua ngoma imedinda! Na niliponunua line ya Safaricom ndiyo nimeutibu ugonjwa.
Wadau wenza niwatakie jioni njema!
Aidha kila atakaepita hapa ndiyo mdau wangu nikusalimiae .