JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Msaada wenu wadau gari ya kampuni gani nzuri inayofanya safar zake Dar - Bukoba na muda gani gari inafika bukoba
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mzuka JF members! I cant believe what I saw. A flock of eagles flying together and a pack of leopards hunting together. Jiisaaz
4 Reactions
7 Replies
495 Views
Nitataja watu au matukio yaliyotrend Tanzania. Sitaweza kuweka kwa mpangilio. Tabiri mtu atakayetrend , tukio au msemo utakaotrend hivi karibuni. Komando madafu Miso Misondo Konki master Lizer wa...
1 Reactions
5 Replies
361 Views
Endapo kama mmiliki wa JamiiForums, Tajiri Max angekuwa analipa watunga maudhui unahisi ni mwana JF gani angekuwa Tajiri? Tiririka...
10 Reactions
38 Replies
1K Views
Kwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimegundua kuwa nimekuwa na bajeti kali, hasa linapokuja suala la vitu vya kupikia. Nakumbuka zamani nilivyokuwa nikigombana na mama kuhusu matumizi ya mafuta ya...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
hivi boss akifutwa kazi chawa anakuwa na neno gani la kumpa kutoka kwenye tajiri huna baya, ukifa huozi, tutajenga sanamu lako point X kituo kinachofata huwa na wapi wananzengo
2 Reactions
12 Replies
554 Views
50 cent,Nas,P Diddy.P Diddy anasema kuoa ni kujibebesha majukumu makubwa yasiyo ya lazima. kwa hapa bongo ambao hawajaoa ni Jay mo,ana miaka 41,mchizi moxie,Nikki mbishi [emoji23],p funk...
8 Reactions
219 Replies
23K Views
I)Kama Kuna wi-fi ii)Hubadilishi nguo za kazi iii)kuna breakfast asubuhi Taja sifa zingine za kazi
1 Reactions
2 Replies
330 Views
Au nasema uwongo ndugu Zangu? Wewe enzi za " Utoto wa Mjini" kiwanja chako kilikuwa wapi maana naona CCM Utoto wa Mjini ndio umechukua nafasi ya Chawa Mimi kiwanja changu kilikuwa YMCA kwa Chris...
5 Reactions
18 Replies
961 Views
Robert Heriel Mtibeli na Mshana Jr Mnafanya Kazi nzuri na Kazi yenu itakumbukwa vizazi na vizazi. Maandiko yenu mmeandika hapa JF niseme yanasaidia watu wengi kujitambua na kuondokana na...
10 Reactions
8 Replies
909 Views
Wadau draft ilo apo wenye uzoefu hiyo king ya blue inaoption ya kula kete tatu izo au inauwezo wa kula izo mbili limenichanganya kwa kweli
2 Reactions
10 Replies
692 Views
Habarini wapendwa. Leo nimekaa nikawa nimepitia. Insta nikaona x kapost picha yake nikakumbuka neno mmoja mabalo nalikumbukka mpka leo liliniuma sana. Alinisumbua sana ikafika mahali nilipewa...
11 Reactions
141 Replies
7K Views
Wazee weekend inaingia, kuna mitoko na familia, nauliza bei ya misosi ya Serena hotel ikoje? Mwanaume nataka kubadili upepo kidogo Mke na watoto wangu wasizoee sehemu za kawaida ,
7 Reactions
62 Replies
4K Views
Wadau eti ilo draft lina option ngap za kula kwa kutumia iyo king ya blue Je nilazima kula kete zote izo tatu au Kuna option nyingine ya kula kete izo mbili
0 Reactions
3 Replies
430 Views
Jiulize kwanini sio wewe? Wamekufa wema kuliko wewe vijana kuliko wewe watoto kuliko wewe Umenipendelea baba🙏🙏🙏
0 Reactions
1 Replies
261 Views
Anasema kuwa anajuta kuchora Tattoo kwenye mwili wake lakini cha kushangaza ni hataki kuzifuta hizo Tattoos. Wengine sasaivi wamegeukia upande wa dini lakini bado wanazo hizo Tattoos na hawataki...
3 Reactions
4 Replies
504 Views
Tukio linaloendelea sasa ivi hapa tanga mjini maeneo barabara ya 12,katika hali isiyo yakawaida dada mmoja aitwae Nusurat Khamis mweny umri wa miaka 22 amekutwa na vichwa viwili kweny mkoba wake...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wanafamilia nimerudi tena dada na mdogo wenu kutoka Kanda pendwa ya ziwa mkoa wenye wasomi wa kutosha Nashukuru waliokuja pm kuniulizia kama nipo hai,nawathibitishia kuwa bado nipo hai na ni...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Back
Top Bottom