JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo wakati nanunua magazeti niligundua kuwa wote waliotangulia kununua hawakuchukua gazeti la juu. Nikamuomba muuzaji ajaribu kumtolea mteja anayefuata gazeti la juu kabisa, lakini naye akakataa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekuja kuwashika wana Chit Chat, Hebu pigeni makofi tafadhali
3 Reactions
147 Replies
7K Views
hellow CC, Hope mko poa, nipo njiani kwenda Moshi, na wiki hii wana Jf wa Arusha nina kikao na nyinyi. Have a nice Sunday every1 I love you all.
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Hii nimeinyaka mahali: Juzi wakati naelekea home nilipita pale Salenda bridge nikaona mfuko umetupwa kando ya barabara,nikasogea nikaangalia ndani nikakuta millioni 5 na vitu vyingine kibao...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mie natokea ukoo wa akina king'ast, na arabela. Nakusudia kufunga ndoa na mrembo yeyote mwenye uzuri na sifa yeyote,ndoa itafungiwa hapa ha CC.na tarehe itatangazwa baada ya kumpata mrembo. Haya...
0 Reactions
79 Replies
4K Views
mkipata taharifa kuna ndege nyingine ya serikali inauzwa laki 5,naomba mnishtue,niko na ndoto siku nyingi ya kumilik ndege ata kama isipopaa nitaiweka garden tu kama kivutio, atayepata taharifa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf Leo kuna ki2 nngependa kukifahamu. . . . . Kuna watu wanasema ya kwamba Mwanaume mmoja ana Akili ya wanawake 28 (ishirini na nane) ikimaanisha ana akili zaidi ya mwanamke...
0 Reactions
9 Replies
935 Views
Wakuu hawa ni ndugu Rutashubanyuma na Ruttashobolwa ? Naamini kila n'tu anamixiwa nao.
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Waitu ni ndamya!!Shumaramu waitu!!shumaramu em'pango!! Mpeleze omtono eibara ly'omwaka 2013 ni WEBANGE Nik'wo kugamba o'ye yemele otalilinda,anga kugila o'ti aliyo n'nanka alanjuna!Omakama...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Mimi mwaka mpya umenikuta niko church nikimuabudu Mungu. Je, wewe mwaka mpya umekukutia wapi?
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Katika safari kulikuwa na MZUNGU, MCHINA ,MMASAI & MCHAGA, ... Wakiwa katikati ya safari meli ikaanza dhoruba na kuelekea kutaka kuzama, ikalazimika kila mtu atupe baharini mizigo aliyobeba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kweli wakenya noma...kwa wale wenye ving'amuzi mtakuwa mnaenjoy vya kutosha kipindi cha comedy kiitwacho NASWA katika tv ya Citizen..nimekipenda sana,macomedian wa kibongo tunawasubiri kwa hamu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hebu tuongee kidogo, hivi unahisi usaliti katika mapenzi unasababishwa na nini?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Swali lenyewe ni hili hapa ( Je Ni nani ambao ni wawili hawana watatu wao?) Nitashukuru mukinijibu hili Swali langu kwa ufasaha wa maneno najuwa humu ndani ya Jamii forums kuna Ma Great Thinker...
2 Reactions
59 Replies
6K Views
ni marufuku kabisa kufungua na kusoma tangazo hili
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Gregorian Calendar - January 5, 2013 (Saturday) Hijri Calendar - Safar 23, 1434 AH.
0 Reactions
3 Replies
960 Views
Wakuu, niko huku Masaki Chole Road karibu na tpsf, nina kikao na kampuni moja ya Wachina, sasa huyu binti wa kichina kaniandalia Chai ya kichina yaani imeungwa na tu vijani tubichi na kaniletea...
9 Reactions
93 Replies
6K Views
Mtoto kapelekwa hospitali na mdingi wake, docta akawa anamuandikia dawa, baba yake akatoka nje kuongea na simu. Mtoto akamuinamia daktari akamwambia kwa sauti ya chini chini, 'Dokta kwenye dozi...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…