Huu mwaka ushaenda sana, au unasemaje?

The Son

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
461
0
Gregorian Calendar - January 5, 2013 (Saturday)
Hijri Calendar - Safar 23, 1434 AH.
 

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
0
Kweli leo tarehe 5 mwezi wa kwanza 2013, hiyo ya Safar 23 - 1434 mh! Bado sana hadi watufikie, sie wa Gregorian
 

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,489
2,000
Afu wote tunaishi dunia moja, no wonder tunapishana katika mengi sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom