JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
jamani ee mi mgeni humu ila napapenda hapa pananifulahisha please admit me
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapendanao walienda lizo mkoani MWANZA , waliamua kujipumzisha katika HOTELi ilioyo Kua karibu na ZIWA , MUME alipenda sana Kuvua Samaki wakati MKE yeye Hupendelea Kukaa Chini na Kujisomea Story...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hivi tutaacha pombe kweli??!..maana sasa ni full kujiachia wINE mpaka sh.600 !!..burudani!
0 Reactions
31 Replies
2K Views
TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO! kwa wasio na VING'AMUZI majumbani Kwao! kwetu tunaonyesha vpindi vifuatavyo! 1-Taarifa ya Habari Tshs 250/= 2-Tamthilia ya ITV&STAR-TV Tshs 400/= ... 3-SPORTS BAR...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Never reject anybody in your life, because good people give us happiness & bad people give us experience. Both are essential in life! SIKU NJEMA.
1 Reactions
2 Replies
764 Views
Msichana mrembo alikua hajisikii vyema katika daladala iliyojaa kupita kiasi. akamwomba msaada wa siti kwa kijana mmoja aliyekaa. Jamaa akamwambia njoo tu nikupakate maana sitoweza kusimama...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
PESA PESA PESA. Kanisani zinaitwa zaka/sadaka.Kwenye magari zinaitwa nauli. Ukitaka kumtoa mtu mahakamani zinaitwa dhamana. Ukizitoa kwa kukutwa na kosa zinaitwa rushwa/takrima. Msibani...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Napenda mwenye msaada wa kunipatia ilipo sumu hii anitaarifu ninaiihitaji
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kila mwaka huwa una jina lake kwa kihaya kwa wenyeji wa Bukoba
0 Reactions
1 Replies
2K Views
CLASSIC:- [BOSS TO SECRETARY] Jiandae kesho tuna safari ya kikazi. [SECRETARY TO HUSBAND] Mume wangu kesho nitasafari na boss kikazi. [HUSBAND TO GIRLFRIEND] kesho wife wangu anasafiri,kuwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
kuna jamaa alitoka sumbawanga akaja dar kuroga. akafika PPF tower,akawa amesimama mble ya jengo mahali penye mlango wa lift,mara wakaingia watu watatu,msichan mmoja na wanaume wawili,baada ya dk...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Sasa nadhani ule mjadala usiokuwa na tija kwenye nchi yetu umepatiwa ufumbuzi. Manake ukiangalia kushoto unaulizwa "jiulize kwanza tupo wangapi" ukimuona mhindi anacheka "mpo wangapi" ilikuwa full...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A dog asks a cat "How come I've never seen you cats making love in public?" The cat replies, "Do you want humans to steal our style like they did yours?"
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Koti la babu lina chawa wengi__________.
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Mimi mgeni humu sijui kinacho endelea... tafathali msaada kwenye tuta..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zungumza na watu wengi waliofanikiwa ndani na nje ya Tanzania, watakwambia kwamba mojawapo ya siri za kufanikiwa katika maisha ni kuwa na mikakati kwa vitendo; Ndiyo kusema kwamba kama hukuwa na...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
mimi nilionana na hawa....... nikapumzika hapa.......... wewe ulifanyaje.....?....weka picha.........
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Ingawa tumezoea utani wa jukwaa hili, habari hii ni ya kweli kabisa kuwa mwenzetu anaumwa hajiwezi. Tarehe 28:12:2012, alizidiwa kiasi cha kukata kauli. Waume na wake tumuombeeni kwani hajiwezi...
2 Reactions
60 Replies
4K Views
Hii kitu imenitokea mimi na ni ukweli 100%, nafahamu kuwa kwa wengi itakuwa ngumu kuamini,ila take it from me,haya mambo yapo. Ni hivi.Historia yangu ya masuala ya kitaaluma ni kuwa Tangu...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
naona MMU sasa ni msimu wa hadithi. Ulikuwepo msimu wa kutafuta walosoma Lyabukande sec mara nini? Ni kwamba nyuzi zimekwishaaa ama? Anyway. . .
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…