Sasa nadhani ule mjadala usiokuwa na tija kwenye nchi yetu umepatiwa ufumbuzi. Manake ukiangalia kushoto unaulizwa "jiulize kwanza tupo wangapi" ukimuona mhindi anacheka "mpo wangapi" ilikuwa full kero.
But thank kwa mkuu wa kaya manake aliona pia kuwa ishakuwa soo akaamua kutujibia ile cku ya tarehe 31/12/2012 kwamba "TUPO MILIONI 44"
Na mwezi wa pili atatueleza kimkoa tupo wangapi, kiwilaya tupo wangapi, hadi kishule tupo wangapi.
Tafuteni swali jingine kwani hili la "tupo wangapi?" JK keshawajibu rasmi