JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mchaga alipata demu wa Kizaramo akamwita aende geto. Demu kufika geto akavua nguo mchaga akaona shanga tele kiunoni akauliza Yeethu na maliya hizi Rozali zimeibwa Parokia gani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hapo mwanzo Mungu aliumba ulimwengu na wanyama wake. Kila mnyama alipewa miaka ya kuishi 30. Kati ya wanyama walioumbwa walikuwa Punda, Mbwa na binadamu. Mungu akawauliza wanyama hao Je! unadhani...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
MKE WA MLEVI:Mume wangu ulisema huu mwaka mpya 2013,utabadirika na kuwa mtu mpya kabisa na pombe utaacha,sasa mbona bado unaendelea kunywa pombe? MLEVI:Hapana mke wangu si kwamba...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Chizi alikuwa anatembea, akaona kitu kama kinyesi. Akainama akagusa na kidole kisha akalamba akasema "waa, ni mavi kweli! THANK GOD SIKUKANYAGA!!!''
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nashukuru nasema asante, na nina ahidi kuto tumia lugha kali tena kwa member mwingine. Asante uongozi wa Jf.
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Habari zenu wanachitchat wenzangu naona mko ifit kimtindo leo nimeingia kwa gia namba 4 ambayo haiwezekani kabisa kushika njia za matopeni kwani itakwama yenyewe ni lami kwa kwenda mbele jamani...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Mmasai mmoja alitongoza demu, baada ya makubaliano wakaenda Guest walipokuwa wakila uroda demu alimkatikia viuno mmasai, mambo yakawa hivi:- Mmasai: Dada nani ametongosa mwensie? Demu: wewe...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
"..Sitoki sasa..mi nasema sitoki.."
0 Reactions
22 Replies
2K Views
What is the opposite of "opposite"?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nipo hapa ofisi za startime sasa kaja mmasai kaacha watu hoi baada ya kusema: mudumu patia ile naitwa kinga ya mafusi. kumbe alimaanisha KING'AMUZI
2 Reactions
6 Replies
2K Views
kwamba kuna watu 876549871098766 wanaoongoza kwa uvivu hapa duniani? wewe ni mmoja wao kwani hujajisumbua kuisoma hiyo idadi,uongo kweli?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Niliwahi kushuhudia aliyekua Waziri Mkuu ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiwasha Sigara kwenye Mwenge mara tu baada ya kuuwasha (nilimuona akihangaika kutafuta...
1 Reactions
42 Replies
14K Views
FIVE LITTLE STORIES 1. Once, all villagers decided to pray for rain, on the day of prayer all the People gathered but only one boy came with an umbrella... THAT'S FAITH 2. When you...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nataka kufungua biashara karibia na Ubungo I DSM na kuuza vitu vifuatavyo kwa wakati mmoja: magodoro, mito, matairi ya matrekta (makubwa na madogo), vifaa vya magari, chupa za chai, vikombe...
1 Reactions
15 Replies
45K Views
Jamaa wawili walikuwa wakicheza karata porini mara wakapita wakulima wawili, wakasikia sauti "weka jembe chini" wao walijua majambazi wakaweka majembe yao chini "weka kisu" wakaweka visu vyao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ninamshukuru Muumba ulimwengu na vyote vilivyomo, vinavyoonekana na visivyoonekana.Tarehe kama hiyo hapo juu,mwaka fulani uliopita siku nyingi nilizaliwa,siku za kuishi zinaendelea kupungua. Pia...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Siku ya Jumatatu; tarehe 14 January 2013 ni siku ambayo Regia Mtema Foundation imeitenga maalumu kwa ajili ya kumbukumbu ya Regia Mtema. Katika siku hii maalumu wote mnakaribishwa Peacock Hotel...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Umefika zako dukani,unataka kununua condom za kwenda kuchakachulia kwingineko,ile unasema "muuzaji naomba unipatie co....",unageuka nyuma unakutana uso kwa macho na mama watoto wako.Hii sentensi...
3 Reactions
67 Replies
12K Views
ajali ya basi tanga aliyetumwa sanda naye alipata ajali na pikipiki akafa palepale. :wof:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…