A Father
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 1,396
- 621
Ninamshukuru Muumba ulimwengu na vyote vilivyomo, vinavyoonekana na visivyoonekana.Tarehe kama hiyo hapo juu,mwaka fulani uliopita siku nyingi nilizaliwa,siku za kuishi zinaendelea kupungua.
Pia ninamuomba Yeye(Muumba Ulimwengu na vyote vilivyomo, vinavyoonekana na visivyoonekana) atujaalie maisha mema, atuongoze katika njia iliyonyooka na atujaalie mwisho mwema. Aameen.
Pia ninamuomba Yeye(Muumba Ulimwengu na vyote vilivyomo, vinavyoonekana na visivyoonekana) atujaalie maisha mema, atuongoze katika njia iliyonyooka na atujaalie mwisho mwema. Aameen.