Ijumaa hii kutakuwa na Maandamano ya wanadini kwenda wa mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba, kushinikiza swala la uchinjaji wanyama kwa wanadini pekee liingizwe kwenye katiba. Hii imekuja baada ya marupu rupu yatokanayo na uchinjaji wanyama kuongezeka mathalani kufikia kilo tano kwa kila ng'ombe utaemchinja. hii itasaidia kupunguza idadi ya wanadini ambao ni vegetalians