JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kuna maeneo fulani mkoani morogoro kama unaelekea Kinole, kuna daraja jembamba ambalo linaruhusu kupita gari moja tu kwa wakati mmoja. Sasa siku moja kulikua na gari mbili zinatokea pande mbili...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Kipindi cha mjerumani...muone mchaga alivyokuwa
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Laana kuu ya wabongo ni longolongo na woga. Do something ~@$&%! La sivyo kaeni kimya maanayake malalamiko na manung'uniko pekee bila vitendo ni kichefuchefu. Angalau basi jiungeni na CHADEMA...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamaa mmoja mvuta unga kenda kwa kinyozi kunyolewa, alipoketi kwenye kiti cha kinyozi akainamisha kichwa chake huku akisinzia kwa jinsi madawa alivyo mkolea, vijana wa mjini wanaita akiyoyoma au...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zilizotujia kutoka mahakama ya mwanzo kisutu, zinasema kuwa, kijana mmoja kafikishwa mahakani kwa kosa la kumuibia dada mmoja mkufu wa dhahabu, na kuumeza tumboni, baada ya kusomewa kosa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na...
18 Reactions
133 Replies
4K Views
Heri ya kuzaliwa wadau wa JF mliozaliwa tarehe ya leo. Mungu awatangulie katika mishe zenu. Happy Birthday 28/August mwilongo Aron mr xuma Inspector Jws Gilbert Julius Alex Fredrick amonbiner...
5 Reactions
2 Replies
400 Views
Ukipendwa pendeka usiachane na mwenza wako
7 Reactions
18 Replies
668 Views
Unajua kwanini (nyau) Paka wakijamiiana nyau wa kike hulalamika sana? Sababu ni hii ... Paka dume uume wake unakama miiba milaini ambayo mwanzo huukuna uke wa paka jike na kuleta raha sana ...
30 Reactions
99 Replies
5K Views
Hawa wanawake bwana sijui wapoje aisee sijui mgnga wao yuko wapi sijui amekufa au nae amerogwa maan haiwezekani wakati namuoa mke wangu hili jumba langu yeye amelikuta la milioni 200 halafu eti...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Tanzania kwa siku hizi mbili wametumia si chini ya shillngi millioni 300 kwa kutengeneza hofu"fear of unknown" na kwenda kupambana na hofu waliyo jitengenezea wao wenyewe. 1.Hatua...
6 Reactions
7 Replies
775 Views
Wengi tulipokuwa katika umri wa utoto tulikuwa na ndoto mbalimbali. Je, maisha yako ya sasa yapo kama ndoto zako au yamekua kinyume na matarajio, *share your experience
2 Reactions
26 Replies
844 Views
Hii ni simu yangu ya samsung, nimeifanyia customization kali sana kuanzia wallpaper, icon, renaming nk Ukicheki hapo juu ni scree ya simu yangu ilivyo...prety cool isn't it guys? Hap chini...
0 Reactions
4 Replies
550 Views
Bridge: See Martin yah, woaai Lawd a mercy Woaai(wooaah), Verse 1: hey hey yo It's not the first nor the last So, so much pretty girl a pass, and Holding out is such a task That's why me a seh...
1 Reactions
4 Replies
622 Views
Mimi bado Lindi, Mtwara, Rukwa na Kagera. Soon nitamalizana nayo Tupe uzoefu wako
6 Reactions
85 Replies
2K Views
Nilikua natuma meseji group la familia kuuliza kama hawajambo nikaandika "hamjambi humu ndani ?"
1 Reactions
11 Replies
709 Views
Asubuhi kabla ya kuanza shughuli zake anakunjwa energy drink Mchana na jioni lazima anywe hizi pombe kali smart gin/ double kick. Ni mfumo wa maisha yake kwa kitambo sasa, tumpe conclusion gani...
9 Reactions
40 Replies
1K Views
Wenye Hekima Hufikiri kisha hutenda, wasio na Hekima Hutenda , kisha wakafikiri na Kujutia
1 Reactions
1 Replies
163 Views
Maana ana cheza kanakwamba sio mdaiwa sugu😂😂🤣 https://x.com/Kirikuu20/status/1828029275099828561?t=zYCmozjIC-s5EIqEyeBhCA&s=19
2 Reactions
2 Replies
310 Views
Hii ni moja ya mambo yaliyowahi kunishangaza sana. Huyo mwamba aliyeshikilia hapo ameamua kuweka kende zake rehani kwa ajili ya taifa.
1 Reactions
1 Replies
325 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…