Mvuta Unga

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,607
1,840
Jamaa mmoja mvuta unga kenda kwa kinyozi kunyolewa, alipoketi kwenye kiti cha kinyozi akainamisha kichwa chake huku akisinzia kwa jinsi madawa alivyo mkolea, vijana wa mjini wanaita akiyoyoma au kubembea.

kinyozi akamuuliza: Nikunyowe Kidevu au kichwa?

mvuta unga akamjibu: Kidevu Kichaa wangu

Kinyozi akamwambia: Nyanyua kichwa basi nikunyoe kidevu.

Mvuta unga kwa kuona ataondolewa stimu akaguna:

Aaaaakh kwani lazima unisumbuwe kichaa wangu? nyoa kichwa basi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom