Shetani
Member
- Oct 23, 2007
- 29
- 3
Laana kuu ya wabongo ni longolongo na woga. Do something ~@$&%! La sivyo kaeni kimya maanayake malalamiko na manung'uniko pekee bila vitendo ni kichefuchefu. Angalau basi jiungeni na CHADEMA ili mijitu mijinga kama Chacha Wangwe ikose kuongoza maanayake kama ndio aina ya viongozi wa upinzani waliopo basi nchi haina matumaini. Afazali dogo mnyika kaamua shule haina maana yeye anasimamia shamba la mfano la Chadema na Zitto naye anavinjari na magari na pesa ya Mzee Gulam Dewji na Freemen kamfanya Gurumo house'girl kwa kisingizio eti cha kuugua athrityis.