JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama unajua mpira vizuri tu. Kunatimu ya angola inataka wachezaji watatu tu. NAFASI ZIPO WAZI ZA MBELE ya KUCHEZEA LIBOLO FC YA ANGOLA. Hii ni timu iliyomfunga Simba mmoja bila bongo nation...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yani kama umegundua huu uzi hauchekeshi; Utakuwa umepona kweli kweli na hivyo kuidhinisha kuwa ule msemo wa "Kichaa huwa haponi, ila anapataga nafuu tu" ni wa uongo Usikasirike kichaa kisije...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
mbwakoko wa2 walikuwa wanakula mabaki jalalani gafla gari la FFU likapita likiwa limebeba mbwa.mbwa koko mmja akamwambia mwenzake unaona wenzetu waliosoma walee wanaenda kazini..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku moja mzungu mmoja mmisionari alikuwa anatembea kwa mguu kutoka shambani kwake kwenda nyumbani kwake katika moja ya vijiji vilivyoko Mkoani Iringa (kwa watani zangu wahehe). Sasa alipokuwa...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Samahan ukiwa hunipati kwenye namba hii nitafute kwenye namba hizi m2 wng zisevu..,0785896352,0718875856 065787566 071805692...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni siku kama ya leo miaka thelatha karibia tarehe kama ya leo asubuhi iliwadia upepo na vipepeo angani vilirukia kazaliwa bwana Mentor namshukuru Muumba. baba kapigiwa simu kidume mejipatia...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Tarehe 1 April unarudi nyumbani na unamkuta rafiki yako yuko na mpenzi wako kitandani wamekumbatia uchi, walipokuona mpenzi wako anakumbia honey ni siku ya wajinga duniani,tulikuwa tunakutania tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shikamoo kaka mkubwa TANESCO....
0 Reactions
0 Replies
592 Views
The race to date a BIG BOY is what is now in vogue. Most ladies nowadays can't function if there is no cash involved. The urge for material things has changed the STORY OF LOVE. Do NOT make...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani wanakikundi cha JF naombeni msaada wenu maana nimetafuta mpaka nimechoka.nilikuwa naomba msaada wenu kwa hali na mali,mwenye roho ya kusaidia naomba ajitolee kwa moyo mmja.chonde chonde...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
haya ni baadhi ya maneno ya makonda. Abiria;~konda weka nyimbo za yesu. Konda;~yesu hajatoa albam Abiria;~konda humu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jfcc! weekend iko bien! karibuni sana niko pande za dom makao makuu ya chama na siri kali! Hehehe! Naianza taratiiib hapa master pub badae chakonichako kisha ntajirusha klub 84! Peace...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Wajameni ka-weekend ndo hako tupeane kampani basi, mimi niko kijiji cha royay(royal village) hapa nakaziakazia swaumu siunajua kwamwezi haka, please kampani mi..
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Kuna dogo mmoja alikuwa ametoka kwa bibi yake dar anarudi kwao mbeya. Walipofika mto ruvu akamuuliza konda tumefika mikubi konda akasema bado. Walipofika chalinze akauliza tena tumefika mikumi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo...
6 Reactions
171 Replies
10K Views
Yaani sijui SIMBA wameikosea nini CAF.......yaani dah.....kumbe akifanikiwa kuitoa LIBOLO huko Angola.... hatua inayofuata anakutana na timu inayoitwa FERVIALO CHIPUMBU ya MSUMBIJI...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
NAFASI YA KAZI ......... Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa? 1.Mshahara Tsh 600,000/= kwa mwezi. 2.Mda wa kazi kuingia saa tatu asubuhihadi saa tisa jioni. 3.Allowance 300,000/= kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Muhaya is attacked by a robberin his silver prado.. Robber shouts, "Toa Pochi!!" Muganyizi shouts back, "We ----, huwezi nipigia kelele nikiwa kwenye prado na nimevaa rolex na cheni ya gold...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilipokua mdogo nilikua naskia misemo iliyokua ikitumiwa na wahenga katika jamii na pia ilikua na maana zake..mfanomkono wa kulia ukiwasha......utatoa kitu/hela,Mkono wa kushoto...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…