Naombeni msaada wenu

Naombeni msaada wenu

thadei kimambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
220
Reaction score
126
Jamani wanakikundi cha JF naombeni msaada wenu maana nimetafuta mpaka nimechoka.nilikuwa naomba msaada wenu kwa hali na mali,mwenye roho ya kusaidia naomba ajitolee kwa moyo mmja.chonde chonde jamani, najua kuna wanakikundi wenzangu wanaweza kunisaidia. shida yangu nilikuwa naomba mtu yeyote aniazime daftari lake la chekechea nijisomee.
 
Back
Top Bottom