Abiria ahhh!!!!!!!!!!!

Abiria ahhh!!!!!!!!!!!

Mussa Mussa

Senior Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
138
Reaction score
42
Kuna dogo mmoja alikuwa ametoka kwa bibi yake dar anarudi kwao mbeya. Walipofika mto ruvu akamuuliza konda tumefika mikubi konda akasema bado. Walipofika chalinze akauliza tena tumefika mikumi konda akasema bado. Safari ikaendelea walipofika morogoro gari liliposimama dogo akauliza tena tumefika mikumi konda akasema bado. Walipofika mikumi mbugani dogo akalala usingizi, akazinduka wakiwa wamepita mikumi mjini kama km 20 hivi. Akauliza kwa konda tumefika mikumi konda akasema ayaaa tumepita, dogo akaanza kulia. Kwa kuwa ilikuwa jioni konda akamshauri dereva wamrudishe mikumi. Wakageuza gari walipofika mikumi konda akamwambia dogo haya mikumi ndiyo hapa, dogo akasema eheeee bibi alisema tukifika mikumi nile mkate, abiria ahhhhhhhhhhhhhh.
 
Mbona ya zamani.... watu8 lakini sio wewe
 
Last edited by a moderator:
watu kama nyie mnaorudia jokes za wengine ndo mnawafanya ze comedy wazidi kujizolea maujiko ya kipindi chao ya 'Kopi and ...........'
 
Mkuuu unakanyaga ganda la ndizi juu ya tiles. duh umetishaaa kweli wewe kiraza.:yo:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom