JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Yaani asikwambie mtu machungwa ya tanga ni matamu sana hasa upate yenye maji mengi na kiharufu Cha asili mengi, nnakwambia utaloesha hadi ndevu, afu upate yenye kiharufu Cha asili. Ni kutafuna na...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
1. Karibu bongo ambapo watu wapo bize na habari za maisha ya wasanii kuliko kufuatilia afya yake.🤗 2. Karibu bongo ambapo harusini lazima lipikwe pilau.🙄 3. Karibu bongo ambapo mtu ana funguo ya...
2 Reactions
4 Replies
588 Views
Eti ni kweli kunguru akifa mzoga wake hauguswi na kiumbe chochote wala kuliwa na kiumbe chochote? Wanasema kwa vile alilaaniwa kwenye vitabu vya dini
0 Reactions
0 Replies
371 Views
Hivi Siku mara paaaaap kwa bahati mbaya Sura zetu zote zikaonekana kwa dakika kama tano ( 5 ) katika Simu na Laptops zetu ambazo tunazitumia Kuchati au Kuandika mambo yetu mbalimbali hapa halafu...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Wajameni, hebu tufanye tuko ndani na tunaishi ndani ya nyumba moja ambapo vihoja, vituko na vibwanga havikosekani! Vingine vinafurahisha na vingine vinakera! Haya mimi naanza….. “Nani kala kiporo...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
Usiku ni mrefu ila ukilala na kuota ndoto za ajabu ajabu huufanya uwe mrefu zaidi. Kuna baadhi ya ndoto nikiota ni ngumu sana kuzikumbuka na hizi ndio hunipa hofu hasa nikiota ndoto mbaya. Huwa...
14 Reactions
113 Replies
4K Views
Wakenya wameanzisha tabia yakusema Diamond nimsanii wetu basi Warwanda, Uganda, Burundi na nchi kibao wanashindana kusema Diamond nimsanii wetu replay zaidi ya elfu 12 ni Diamond is our artist...
2 Reactions
3 Replies
548 Views
General Knowledge. Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo...
103 Reactions
3K Replies
302K Views
Yaani kuna Zoezi moja naona ameshika Mashine huku anaichanua Miguu yake Kulia na Kushoto na 'Kitu' Kimetuna tu.
11 Reactions
79 Replies
6K Views
Salamu Azuma, umejaa tiba, Uponyaji u nawe. Umebarikiwa kuliko dawa zote, na mgunduzi, wa formula yako, amebarikiwa. Azuma antibiotiki, Mtibu wa magonjwa, utuponye sisi wagonjwa sasa na saa ya...
16 Reactions
36 Replies
3K Views
Asanteni sana kwa wale walionuwa wanapita pita kwenye post zangu na kuchukua uongo na ukweli,post zangu zimefika views laki moja ni jambo la kushukuru.
10 Reactions
36 Replies
1K Views
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Mpangaji akimuongelea Baba mwenye nyumba, Mwenye Nyumba akimjibu Mpangaji Kazi kweli kweli!
2 Reactions
3 Replies
580 Views
Huyu Jamaa wiki iliyopita nilikuwa naye pale Dodoma,ajabu ni kwamba kuna mambo alikuwa akiniambia nikawa nashangaa tu! Baada ya kugundua alichokuwa akimaanisha,aiseee nimetafakari sana usiku wa...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Namtafuta Sana Mshana Jr, nimejaribu kumcheki PM ila haikubali kutuma
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Enzi zetu tulikuwa tunakosea zaidi yenu. Enzi zetu teknolojia haikua njema kama leo. Enzi zetu tulijiachia kwa mengi zaidi ya leo. Inawezekana miaka yetu tulikosea pakubwa zaidi ya makosa yenu...
5 Reactions
12 Replies
515 Views
Umezaliwa mwezi Agosti? Tazama video kufahamu tabia unazofanana nazo pamoja na kuwafahamu zaidi watu wengine waliozaliwa mwezi huu.
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Hii ndio ile Sold out tunayotamba nayo, unanunua bia 4 kisha unajipatia ticket ya bure ya Simba Day.
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Yaani unaweza 'Ukaukweka' huku ukiwa unakula Chakula chako Safi huku kwa nje ukiwakodolea tu Bundi na Ngedere.
0 Reactions
1 Replies
339 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…