"Sitamuibia Mwalimu tena" Ni kauli iliyotolewa na mwizi baada ya kuiba wallet ya Mwalimu na kukuta yafuatayo:-
1. Majina ya wapiga kelele darasani
2. Majina ya waliochelewa namba
3. Majina ya...
TICHA: Ukikutana na simba utafanya nini?
DENTI: mi takimbia nikapande kwa muti.
TICHA: Na simba akikupandia hapo juu ya mti?
DENTI: mi tajirusa chini nikimbie kwa mto niogelee...
kunaa jamaa alifungwa miaka saba kwa kosa la wizii wa mamilion ya mapesa alioiba sasa kapokea baruwa kutoka kwa baba ake >
mwanangu umri wangu mkubwa niko mgonjwa na msimuu wa kulima umefika lau...
Dah nimekuwa frustrated sana,furaha yangu ya birthday imeisha officially leo simu yangu kipenzi sony xperia imeibiwa na vijiwezi uchwara,wameniibia dirishani usiku,dah am out of words ila...
Ndugu mwenyekiti Baba V, pamoja na wakereketwa wote wa huu ukumbi.
Kwa moyo wangu wote nimeamua kujitupa uwanjani kutafuta wangu wa Ubani, wa kulia na kufutana machozi, wa kunivusha daraja hili...
kunaa jamaa mmoja huyoo kijijini kwao alikutana na simba uso kwa uso sasa hapohapo akapiga
magoti na kufumba macho akawa anaomba kwa mungu ili yule simba asi mle bac kama dakika tano
hivi...
Naomba kujua fiada ya msalaba au msalaba una value gani kwa wakristo? Maana nimeona unatumiwa vibaya sana hasa kwa wazungu jamii iwe Europeans au Americans.
Tigo tena kwa mara nyingine tena
sasa unaweza kujua uzito wako kupitia simu yako ya mkononi.Cha kufanya andika neno Uzito kisha tuma kwenda number 15003 na kisha simama juu ya simu yako.muda si...