hasason
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 1,648
- 1,538
Majina ya pombe zetu za asili:
Dengelua – Hii inapatikana kule upareni
Mbege – Hii ina[patikana kule Moshi uchagani
Ulanzi – Kule Iringa
Ulaka – Nasikia inapatikana Morogoro
Boha – sina uhakiaka inapatikana wapi
Kindi – Hii nayo naomba msaada sijui asili yake ni wapi
Wanzuki – Hii ni new technology nasikia ina gesi kushinda hata Bia
Chimpumu – Hii nayo nasikia inapatikana mikoa ya kusini
Tende – Hii inapatikana wisiwa vya karafuuZanziberi
Gongo – Hii ina majina mengi ajabu, Kachaso, la 50, common, zilipendwa,chi-dawa ,uso-paka, machozi ya Simba, Uzo, Chang'aa, na haijulikani asili yake ni wapi
Daddy - hii ni maarufu sana huko arusha
Nyingine mtajazia……………………..