Yani toka external mpaka buguruni sheli nimetumia masaa mawili na nusu leo saa 4 mpaka saa sita na nusu mchana?
Kwaherini narudi mkoani kwangu. Hii foleni ya magari ni balaa
Breaking news: Ronaldo anamalizia vipimo vya afya Manchester na atasain mkataba wa miAka minne akizungumza kwa furaha kubwa Juma Hamis maarufu kama Ronaldo alyekuwa anachezea Katavi fc ya Rukwa...
President Kikwete was exchanging a
Word with the Queen of
England.......
"Your Majesty, how do you run
such an efficient government?
Are there any tips you can give
me?"
"Well," said the...
Kipofu alifkishwa mahakamani kisa kaua mtu.Alipohojiwa na JAJI yeye akajitetea akasema hivi :Ndugu JAJI kwakweli mimi na marehemu tuligombana nilipotaka kumpiga akasema NIUE UONE na mimi kwakuwa...
Siku moja Yesu alitoka na Yuda kwenda kutangaza dini, walichukua mikate mitatu, mikate aliibeba Yuda, wakaanza safari, walipofika mbali, Yuda alihisi njaa, akavumiliaaa, mwisho akashindwa, kwa...
Wapenzi wakiwa katika harakati ya kula chakula cha usiku,jamaa akapata swali hili;
Bwana:honey hivi kabla yangu ulikuwa na wanaume wangapi?Demu kimya
jamaa akauliza mara ya pili,demu bado kakomaa...
Dogo anafundishwa hesabu na mama ake.
Mama: mwanangu njoo nikufundishe hesabu
Dogo: thawa mama
Mama: mfano shangazi akikupa maandaz 2,
kisha akikupa tena maandaz mawili, jibu
litakuwa lipi...