JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hodi kwenu....mimi mgeni hapa...ningependa kumuomba mwenyekiti wenu anitambulshe kwenu nyote...nina interests sana na single ladies,tafadhali jitokezeni bila woga....pia kama mwenyekiti wenu akini...
0 Reactions
71 Replies
4K Views
nilikua natembea njiani, kwa mbaaaaaaaaaaali nikaona watu wawili wakigombana, sasa wakaniita nikasuluhishe uwo ugomvi....... mmmh mpaka sasa hv nasulihisha ngoja nimalize nitawaambia.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ubalozi ni pale unapofikia kwa ndugu yako au rafiki wakati unatoka mkoani, bording school, au college: huwa pale kuna visa kama kuku uliza, utaondoka lini? kama kukuambia zima tv ipunzike! Kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Utafanyaje pale utakapoamka asubuhi halafu ukafungua mlango ukakuta hakuna nje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Khaa!!! yaani umefungua ili ujue jinsi simba anavyokukula... cha msingi we potezea ukijua hutotamani hata kwenda katika hifadhi ya wanyama.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Biashara ya mtando ilianzishwamiaka ya 1960s huko Marekani na milionea wengi wa marekani walianza kushika milioni yao ya kwanza kwa kupitia Biashara hii ya MLM. Kwa hapa kwetu Tanzania makampuni...
1 Reactions
0 Replies
994 Views
et!! umepanga kujiua,ukaenda dukani kununua sumu,ukatoa elfu kumi kuna haja ya kudai CHENJI !!wakati unajijua unaenda kufa?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mambo habar zenu bana
0 Reactions
1 Replies
729 Views
HABARI Lile shindano la kumtafuta mwimbaji bora, mtunzi na wimbo bora wa chitchat hapa ambalo lilikwenda takribani kwa juma la wiki 3.5 Natangaza rasmi leo kuwa limefungwa kutokana na sababu za...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari zilizotufikia sasa hivi kupitia mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, zinasema kwamba leo ifikapo saa 1:00 za jioni kutakuwa na giza kubwa kutokana na jua kuzama upande wake wa magharibi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kevin Hart - Let Me Explain (2013) Free Download
0 Reactions
2 Replies
2K Views
There was this girl who was in love with a certain guy, but never had the guts to tell him. One night, at around 11pm, she summoned some courage and sent him a text message saying, 'I love...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu Memberz wote mliomo JamiiForums, ni matumaini yangu mpo vyema. Mimi sijambo. Lengo la Thread hii ni kusikia mawazo na michango yenu kuhusu Party iliyopo mbele yetu. Kama...
0 Reactions
165 Replies
7K Views
Kuna wadada wa3 walikua wanatambiana majina ya boyfriends zao na ilikua hivi:- WAKWANZA:-Mm boyfriend wangu anaitwa HAMISI ukipenda mwite MISI! WAPILI:-Mm wng anaitwa JAMESY au ukipenda mwite...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nipo Tanga,Kesho naenda Korogwe alafu vijijin maeneo ya Karenge Kata ya Rusanga barabara ya mashewa,network ya voda inasumbua ,naweza kuwa Kimya,nitajaribbu airtel nione "VV"
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndivyo hali ilivyokua. Baba mzazi ni CHADEMA mama CCM. Likaja zoezi la kumpa jina na kila mzazi akawa anavutia kwake,baba akatumia ubabe kumpa jina la Slaa,mama akakataa na akampa la...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekaa sana Tabora, ukiwa Tabora pale, URAMBO NYUMA KALIWA MBELE, kweli si kweli?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimeikuta huko facebook, sijui ilishawekwa hapa (sijapata muda wa kuitafuta humu) Teacher : What will u do after grown up ? Johnny : Facebooking Teacher : No! I mean what will u Become ...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
10. White House not big enough for in-laws 9. Engineering, medicine, law and motels always preferred over politics 8. Agarbattis will set off smoke alarms 7. Can't find decent masala dhosa inside...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom