salum mabura
Member
- Jun 16, 2013
- 67
- 5
Kuna wadada wa3 walikua wanatambiana majina ya boyfriends zao na ilikua hivi:-
WAKWANZA:-Mm boyfriend wangu anaitwa HAMISI ukipenda mwite MISI!
WAPILI:-Mm wng anaitwa JAMESY au ukipenda mwite MESY.
Wakamwambia mwenzao wa3 ww vp mbona hututambulishi mwenzetu?
Akabaki anajiuma uma huku anatetemeka na kushusha pumzi ndeeefu hasa akikumbuka jina la mpenzi wake ni LWAMBO.
Ungekua ww ungefanyaje?