JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Great thinkers(mmmhhh)hamjambo? Huwa najiulza inakuwaje mm nnapo anzisha threads hazichangamkiwi km za hao wanaojidai vijogoo(sanasana huyo lara1,heaven on earth na wengne freemason) ss kwa...
4 Reactions
66 Replies
7K Views
Wapendwa tuko safarini kutoka Songea kuelekea Dar ndani ya Mbeya express. Tunaomba sala na dua zenu tufike salama.
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Jamani,,msaada wa kuendesha gurudum la usiku,,maana kausingizi hakapo kabisa:)
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Kufuli kubwa!. Obviously hua sishangazwi , nikutanapo/nionapo Funguo ndogo inafungua Kufuli/Kitasa kubwa/kikubwa! Nashangazwa kama si kubutwaika pale nikutanapo/nionapo Kufuli ndogo...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Naomba mnisaidie jinsi yakuludisha account yangu ya facebook (dactar wizzy) ambayo inashea email moja na namba yasiri moja No. yasimu moja .Hivyo yani ama nini
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba nikiri kwamba katika mbilinge zangu za kuwania mabinti ujanani nilipata misukosuko mingi sana kiasi kwamba kila nikikumbuka huwa nacheka mwenyewe. Namuomba Mwenye Enzi Mungu, wanangu...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Nivije Wazeiya wa Double C? E bwana katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao ya kijamii nimekuwa nikikutana na ilo neno mara kwa mara,mtu ana post au update status mwisho anamalizia na...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Waungwana mpooo
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mmasai mmoja alikodi chumba Guest House, na mara tu alipoingia kwenye chumba alichokodi ili alale, akakuta kitanda kimeshachomekwa chandarua. Kesho yake asubuhi Mhudumu akaja na kuingia chumbani...
2 Reactions
12 Replies
8K Views
Airtel money hutumiwa na wenye MAGOVI ndo maana kauli yao ni moja "HAKATWI MTU HAPA" wapo kwenye mgomo wa kutahiriwa!.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
A professor drove into a petrol station in his sleek state of the art range rover sports; PROFESSOR: Guy abeg, give me full tank. FUEL ATTENDANT: Sir, i don’t speak pidgin, i only speak...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MKE; anamuuliza mumewe,hivi una wanawake wangapi huko nje? MUME; kama nywele zangu.. MKE; akachukua nguo zake akaondoka, alipofika njiani akakumbuka kuwa mumewe ana kipara, akaanza kurudi mbio...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
"System ya kulipia kodi ya line ya simu sh.1000/=,ikianza tu!! Nitakuwa napatikana hapa: S.L.P. 007.Arusha,TANZANIA."
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1.mzizi mkavu 2.baba v 3.lara1 4.madamme x 5.kongosho 6.appoh 7figganigga 8.watu8 9.smile 10.heaven on earth
3 Reactions
160 Replies
10K Views
HaNIimISSyu! yAAniMimiAIrav yuuARAfumPEnzijAna3eti Maza ¤£akANIChimBa%mKWara. SAizi€ukOTU naRImkERako Hani*mIMIsiNAmaFUtaYakUjiPaKA. ReOMamAakiNDakaziNi.tuFAnyA? ooh!mIMI.Ai...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
rck and nck codes for alcatel onetoucj modem X230E-2LATTE3 with imei 867612005433085
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Haiwahuu..... The secretary sina uwezo wa kuendesha wife,njoo The Element Masaki unchukie dadadadadeki
0 Reactions
21 Replies
2K Views
hii ni kwa taarifa yako tu,asili ya jamii forums ni jamaa wanafurahi hao,kama ndivyo chuki ya nini,tupeane tu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Watu hawa always huwa wananifanya nifungue JF hata kama sicomment wala kupost kitu chochote; snowhite - You are my partner you know Kongosho - Kitu ya muzungu you always make me laugh Lizzy -...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!! Baada ya mihangaiko ya hapa na pale ambayo ilinifanya nikose kidogo mda wa kutembelea jamvi, hatimaye nimerudi tena nchi yangu nnayoipenda, ila kweli...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Back
Top Bottom