"Amu" Yupo wapi?????

"Amu" Yupo wapi?????

KIDUDU

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2012
Posts
2,558
Reaction score
1,928
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!

Baada ya mihangaiko ya hapa na pale ambayo ilinifanya nikose kidogo mda wa kutembelea jamvi, hatimaye nimerudi tena nchi yangu nnayoipenda, ila kweli nimestuka baada ya kuingia kama siku mbili nzima bila kumuona kipenzi "amu" popote alipo naomba ajue namkubuka, nammisi na namtafuta, nimefeli ku retrieve inbox kupata namba zake, nilipoteza simu, kama hata aliamua kubadili ID, naomba aliyemuona au kama ataona bandiko anitafute jamani, siku ni nyingi sana simskii.
^^^^^^^^^
'amu' nimekumis sana, plz tuwasiliane,
Mungu akubariki sana.:A S kiss:
 
Aiseee nadhani hutaki kubaki na kucha zako.

amu yuko jukwaa la siasa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom