donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Rasta alienda kumgongea Msela Geto ili walale,kugonga akaulizwa:We nani?
Akajibu:Rasta Farrai,Jah bless King of Haile Sellasie,Jah man Gwan Man bum bum peace&Love forever nigga.
Msela akamwambia:sifungui aisee mko wengi sana hamtoshi hapa ndani Gheto dogo.