Natokaje hapa, ndo ushauri ninaohitaji.
Hapa jirani kuna pub mpya imefunguliwa mwezi sasa, kuna pisi za hatari …. kuna hii moja juzi nilikuja ikanichekeachekea leo nilikuja mahsusu kwa ajili ya...
...mboni ichafukapo jicho huwa mashakani...
...Ni mbali we uliko nasijui..UHALI GANI...
..nikumbuke kwa PM hata wa kucomment post hii
wazima wana JF...
Uhali Gani - YouTube
samtz1 analeta ukakasi wa kufanya tuonekane ID moja aache kuiga iga. Anatumia picha zangu kutafuta ma kuniibiia mademu zangu.
Moderator Active mnaruhusuje watu kuiga picha zangu. Why? why? why...
Naamini kuna vitu vidogo vidogo tunagundua kwenye maisha ambavyo vinatushangaza lakini inakuwa ngumu kupata majibu ya jinsi vilivyo....
Nimefungua hii thread kama njia ya kupata majibu.
Naona...
Habari za Majukumu wakuu. Ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya.
Ningeomba niende moja kwa moja kwenye hii mada na nitaielezea kwa ufupi.
Ni kisa nilichokutana nacho katika chombezo la hapa...
Habari zenu wana jf..
Ningependa kushare na ninyi mambo machache kabisa ya kuangalia kwa kijana uliye maliza chuo,unaye anza maisha na uliyeko chuoni pia
1Aina ya kazi
Usichague kazi ya kufanya...
Kwa niliyokutana nayo kalaga baho niseme tu safari ya maisha ni ndefu sna. Mikasa, visa na vibweka kwa akili za watanzania ndo mahala pake. Umaskini nao ndo umefika
Juzi wazee nilishikwa...
Kuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!!
Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani...
Unamkumbuka yule mwalimu uliyekuwa unamcheka kipindi uko shule? Yule mwalimu ambaye kila siku anavaa shati lilelile na viatu vyake vimeisha upande??
Yule mwalimu ndio wewe siku hizi 😂
Mwezi Novemba mwaka huu nilikuwa na safari kadhaa za kwenda mkoani Mtwara kwa pilika zangu binafsi.
Mara nyingi nilitumia mabasi ya usiku kutokea Mbagara rangi 3.
Cha ajabu na kushangaza...