Mwanafunzi mmoja hajui kujumlisha wala kutoa,
Mwalimu katumia njia zote kumuelimisha lakin wapi.
Ikabid ajaribu njia hii
MWL :kwenu mnafuga nini?
MWNFZ :Kuku na mbuzi
MWL :Mbuzi mnao wangapi...
Mke: mume wangu unajua kuwa mlango wa jikoni umevunjika?
Mme:mi fundi?
Mke:mh! haya naomba ela ya chakula
Mme:mi ATM?
Mke:mwanao jana katoroka shule
Mme:mi mlinzi?
Mme akaamua kuondoka bila...
Mchaga mmoja aliangukia mbele ya geti la NMB watu wakaja wakasema mmwagieni maji ili azinduke
Mchaga kusikia hivyo akawaambia ningetaka majii ningeangukia DAWASCO nimwagien pesa...
Guys salama nilikuwa nahitaji wimbo wa Kr mullar "jibaba" ule wa enzi ya utoto mwenye kuwa anaweza akanitumia kwenye whatsaap 0718302132,kwani nimeujaribu kuudownload cjaona ukitokea
Tuviweke kwa makundi yake yaani visivyopikwa ,vya kupikwa nk
Visivyopikwa
Asali
Yoghurt
mua Embe nanasi bivu pera parachichi papai nk
Vya kupikwa
Pilau
kitimoto
halua
Nyama choma nk...
Si vibaya nikishare na nyie what i have in mind..kiukweli i have big dreams which 5years to come ntahakikisha they become reality...!
1.Kwanza i dream of having a good family..i mean watoto...
Mupooooo.....
WanaCC napenda kuwaletea salamu nyiiingi kutoka kwenye Server za JF, dada yetu, rafiki yetu na mwana CC mwenzetu ladyfurahia nawasalimu sana....
Kawamiss kinoma yaan... Ila...
Habari wadau
Nilikua nauliza sehem nayo weza pata maandazi matamu hapa posta mjini
>....naombeni full direction ata jina la eneo,ntaulizia..
Ntashuru kwa muogozo wenu
True story: kuna mshkaji Mmalaysia alimuga mkewee anaenda China. Mke akamsindikiza hadi airport, kumbe jamaa kaingia na kutoka kisha akazama kwa mchepuko. Sasa jamaa amenasa kwenye apartment ya...
Jamaa kaingia baa,
Jamaa; mhudumu nipe kinywaji, na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazma kila mtu apate kinywaji.
Haraka sana mhudumu akagawa vinywaji.
Jamaa...
Ivi ni sahihi kudate na mtu ambae mko sawa umri na umemzidi miezi kadhaa mwanamke umemzidi mwanaume halafu huyo mwanaume hajawahi kula tunda ndio anajifunzia kwako.vp apo
Hadi leo jamaa anawaza atarudi vipi kwake. Kamuaga mkewe anaenda China kwa ndege ya Malaysia iliyopotea, tena kasindikizwa hadi airport. Kumbe kazama mtaa wa tatu kwa nyumba ndogo. Sasa ndege...
Come to think of it,the Eve species are such interesting individuals (myself inclusive funny enough).These cliche's are common in my society.i.e oh sofy kipenzi changu,jamani my kila kitu while...