CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mupooooo.....
WanaCC napenda kuwaletea salamu nyiiingi kutoka kwenye Server za JF, dada yetu, rafiki yetu na mwana CC mwenzetu ladyfurahia nawasalimu sana....
Kawamiss kinoma yaan... Ila thanks God siku hazigandi soon atafufuka...
Wale waliomsababishia BAN amewasamehe na anawaombea ili siku moja nao warestishwe kwenye server ya JF.... Ili waonje joto la jiwe.....
Wasalaam
CL
KNY ya ladyfurahia

Last edited by a moderator: