JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Familia moja ilishangazwa pale walipopokea jeneza la marehemu mama yao aliyefariki nchini Marekani. Lilitumwa na mmoja ya watoto wake wa kike. Mwili ndani ya jeneza ulikuwa umesongwa sana...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Mfano ;- wewe umempenda demu ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali kalazwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanyakyusa mmetisha.....hapa lazima akubali
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamaa alianza kujisifu sana kazini kwake; Jemsi: Wiki ijayo nafanya mtihani, ni miezi sitasasa nafanya masomo ya jioni, nimejua mengi sana, we unamjua David Livingstone? Devi: Hapana simjui Jemsi...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mama kaniambia kuwa pombe ni 'adui' yangu! Maandiko yananiambia nimpende 'adui' yangu! Nimechanganyikiwa!!! nifanyeje jamani? Nichukue uamuzi gani? Nimsikilize nani?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaman natamani kuchat niko sehem ya starehe peke yangu sina hata wa kuongea nae Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hembe nyie wanaume kagueni mifuko yenu. I can drink only 7 savana @ 4,500/= na Mbuzi choma 10,000/= sina gharama madadii wangu. Excel upo?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Salamu kwenu wadau, mimi ni memba mpya katika kipande hii naomba ushirikiano...
0 Reactions
3 Replies
896 Views
Babu alienda hospitali kutibiwa akiwa na mwanawe, kufika akaambiwa aanze kulipia kadi sh. 2,000 na kumuona dokta alipe sh. 10,000. Akabaki kimya kwa muda, nesi kuona vile akamuuliza Nesi: vipi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kuanzia la 4 hadi la 7 maksi zangu za hesabu kwenye mitihani zilikuwa zinacheza kwenye 03%hadi 08%.Matokeo yalikuwa yanatangazwa mbele ya darasa! yanapotangazwa mwalimu anaanza kuwaita wanafunzi...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
MCHUNGAJI alikuwa anawaombea waumini wake akauliza; Mch: Wangapi wanataka kuokoka inueni mikono niwaombee.. Hakuna aliyeinua mkono. Pedeshee mmoja akapita mbele na kupanda madhabahuni na...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kitanda kina mambo mengii jamani kinatunza siri zetu nyingii mi kitanda changu hukitumia kumpumzika nikiwa nimechoka pia usiku nikitaka kulala basiii Je wewe kitanda chako wakitumia kufanya...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Yaani bungeni leo jioni imekuwa kicheko bunge zima pale spika Makinda alipokuwa akiwapooza wabunge waliokuwa wakicheka mchapio wa HABIB MNYAA aliyechapia badala ya kusema ''naunga mkono'' hoja...
5 Reactions
25 Replies
10K Views
Ya Leo Kali nimekuta irizi kwenye dirisha la nyumba nliyopanga,yaani mpaka nimeishiwa Nguvu kabisa,nishaurini nimprovoke huyu mama au ninyamaze na kuichoma tu Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Wazo La Leo " Malaria Mwisho Chalinze Dar Kila Mtu Dengu"
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka 1978 Kenya kulikuwa kuna mchezaji anaitwa Otieno Mboo. walifanikiwa kufika Fainali ila huyo mchezaji aliumia mechi ya Nusu fainali, Magazeti ya Kenya yaliandika vichwa vya habari "WAKENYA...
5 Reactions
6 Replies
5K Views
CNN Journalist: Russia was the first Country to go Space and USA was the first to land on the moon. What will Africa do first? President Mugabe: We will be the first to land on the sun. CNN...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
waweza pia kuziita gesti za kijani, zimetoweka, hazipo tena misitu imemalizwa vichaka vimefyekwa, miti imekatwa kufanya maendeleo ya binadamu. green villars hazikuwa na gharawa yoyote na zilikuwa...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Boy: I am not rich like Raoul, I don't even have a big car like Raoul. But I really love you! Girl: I love you too, but tell me more about Raoul..,,,
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Ilikuwa ni muda wa masaa 4 tangu askari wakike ajilaze kitandani toka saa mbili na nusu akiwa na mpenzi wake anakuja kutaharuki anakuta wamelala watu watatu katika kitanda chao cha sita kwa sita...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…