Habarini wanajamvi wenzangu
Nimefurahia kujua kuwa jana kuamikia leo ni siku ya daddy duniani hebu rafiki toa maoni yako kuhusu yale mema au mabaya ambayo baba yako alikufanyia na mpongeze kwa...
Habari za jioni wadau wa JF,
Bila shaka wengi wetu mnamfahamu member mwenzetu aitwae Money Stunna, hivi karibuni amepatwa na msiba wa baba ake mzazi taratibu za mazishi zimeishafanyika, mengine...
Jamani mabibi huwa wanapewa majina mengi sana mtaani.Mengine huwa ya kuchekesha kama haya:
1.Bibi jinga
2.Bibi mnoko
3.Bibi cheka
4.Bibi nyau
5.Bibi kibamba
Ongezea mengine
Aman kwenu wana Jf, naulizia ile stori ya huyo jamaa tajwa hapo juu(Mentor) iliishiaga wap?,niliisoma nadhan niliishia sehem E,aliyo nayo au yeye mwenyewe anitumie hapa niimalizie irumba8@gmail.com
MUME::haloo mke wangu..nimepata ajali nikielekea kazini.elizabeth amenileta hospital.japo kichwa kimepasuka madokta wamesema nitakua sawa ila wamenipiga x-ray mbavu tatu zimevunjika na huenda...
Kun'garisha viatu ukiwa unaenda kupiga passport size,kumwambia konda shusha wakati upo karibu na Dereva,Kupunguza sauti ya Redio ili Usome message kwenye simu,kumbembeleza mkeo akupe uroda,kuoga...
1. Usafiri wa viongozi wote ndani ya Dodoma na ndani ya Dar uwe wa Bajaji. Tutabana matumizi ya fyuweli na hela tufanyie mambo ya maendeleo.
2. Ile mbegu katikati ya parachichi iondolewe...
Mithali 19:14... nawatakia Jumatano Njema.
Akili Unazo!!
Inasema hivi: Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye
Bali mke mwenye Busara ,mtu Hupewa na Bwana
Na neno likawe taa na Mwanga...
An insecure shopper who paid $1000 for penis enlarger online thought all of his worries would go away when a well packed parcel arrived. The guy opened it only to find the magnifying glass with...
Kuna kaka mmoja alimchukua dada mmoja na kwenda nae katika kioksi kwa ajili ya mazungumzo. Walipofika na kukaa tu katika vitu yule kaka akamuuliza yule dada, unatumia whatsapp, yule dada...
Haya ni baadhi ya majibu ya makonda wa daladala hapa Dar ambayo yamewahi nichekesha sana, weka yako...
Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga? Wekeni nyimbo za yesu..
"Konda: "Vunga wewe, Yesu bado...