A Husband takes the wife to a disco. There's a guy on the dance floor living it large, break dancing moon walking,
back flips, the works. The wife turns to her husband and says: "See that guy? 25...
Phonebook ya mmama wa kichaga:
1.dokta wa ng'ombe
2.masawe muuza pumba
3.pickup ya majani
4.kijana mkata majani
5.juma muuza vifaranga
6.fundi banda
7.machine ya kusaga
8.muuza...
Jana asubuh nliona mada ilyokua inamuhusu yule kaka wa ruco iringa aliyesadikika kua ni mwizi akachomwa moto...swali langu imeishia wap maana siioni tena ile mada samahan lakin.....
1. Dont dare talk in front of my back.
2. Stop making noise like empty sardine tins of milk.
3. Take 5cm wire of my length.
4. All of you stand in a straight circle.
5. Be quiet the principal...
Mwalimu mgeni aliingia darasani
kwa mara ya kwanza na kuchora moyo
ubaoni,kwa vile hakuwa mchoraji
mzuri,ule moyo ulioneka ivi ivi tu.
Kwa kujiamini akauliza wanafunzi
"nimechora nini?"...
Jaman nachekeshwa sana na hv vtuko vya mkude simba jaman.hapa nmeskia moja et anaulzwa kuna makomando wangap nchn anasema kuna makomando wa2, komando jide na makomando walioimba kibaba baba...kwi...
Uhuru, Kagame na Dr Kikwete walimwendea Mola kutaka kujua majaaliwa ya nchi zao.
Akaanza Uhuru: Ewe Bwana mtukufu, ni miaka mingapi itapita hadi Kenya iwe kama nchi za Ulaya? Bwana akafikiria...
Kitandani... kwani ninapofanyia na ninachokuomba vinamahusiano gani. Kuweni na subira kina dada angalau hata ukisha mpatia anachokuomba ndio umuuliza maana lazima kutakua na ka uoga kanakopelekea...
Nakumbuka ilikuwa ni pasaka mwaka siukumbuki, nyumbani tumepika bata.
Watu wakiwa kanisani wakimsifu Mungu kwa nyimbo na mapambio, niliachiwa nyumba ili niilinde na kukatakata kachumbari.
Waliwa...
Hellow wadau, mimi nilikua mmoja wa wapenzi wa kuchat kwenye ule mtandao wa drchat, wale jamaa sijui wamekufia wapi aisee, tulikua tunaburudika sana mule. kwa wale ambao wameimiss darchat kama...
Kwa niaba ya wana MMU napenda kuwatakia mfungo mwema wa mwezi wa Ramadhani kwa wale wote wanaofunga kwa dhati na kuepukana na yote yasiyofaa. Akhsanteni. Ramadhan Kareem.
Mi uporoto01 nikiwa Nairobi nawasalimu wana chitchat popote mlipo wageni na wakongwe.Nilikuwa bongo kwa muda wa miezi miwili na sasa nimerudi kituo changu.
OBAMA bandia achezea ngumu nyeusi bila kupumzika na mpinzani wake mit romney
jionee kwenye source HII VIDEO
HAPA
Block TZ Entertainment: OBAMA AZICHAPA KAVU KAVU MTAANI BILA KUSAIDIWA NA BODIGADI
Mlevi hahongi Hela ila pombe hadi tosha yako, konda hahongi Hela ila daladala yake utapanda bure, muuzaduka hahongi Hela ila vitu vya dukani, bosi hahongi Hela ila vyeo, dereva wa taxi hahongi...
Thanks so much kwa kunipa ruhusa nifaidi mema ya nchi.
Sitamani kukukosa ingawa kwa sasa nimekubali kua mchepuko ila naamini sun ntakua njia kuu,
Thanks so much, love mingi,
Nakuahidi kutekeleza...